real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka amesema Magufuli anaendelea kufanya kazi ya kukusanya mapato ya nchi na kupambana na rushwa na anahoji wapinzani wanaomuita dikteta na fashisti na wametumwa na nani na wamefadhiliwa na nani.
Amewazungumzia aina ya siasa za CHADEMA wanazofanya na akasema anamuunga mkono lowassa aliposema kuwa anataka kukibadilisha kutoka kikundi cha wanaharakati hadi chama cha siasa lakini akasema hatoweza kufanya hivyo kwa muda mfupi.