Ole Sendeka, Mkuu wa Mkoa wa Njombe anafanya kazi muda gani?

Habari zenu wadau,
Napenda kufahamu mheshimiwa huyu mara kwa mara namuona kwenye taarifa za habari akiwa Manyara kwenye shughuli za kimila

Je utendaji wake wa Ukuu wa Mkoa anafanya muda gani? Anapata ruhusa kwa nani au anataka Ubunge Tena.

Nawasilisha.
Angalia isije ikawa ni coincidence tu inatokea kila unapoamua kungalia TV na yeye anaonekana Manyara...
 
Mbowe ana elimu ya Kidato cha sita aliyefeli, ina maana atakuwa na cheti kidato cha nne. Sendeka ana elimu ya kidato cha sita aliyefeli, ina maana atakuwa na cheti cha kidato cha nne. Kweli CHADEMA mnaacha watu hoi.
Lusinde na Maji marefu wana cheti cha darasa la saba. Sifa kuu kwa TZ kuwa kiongozi iliyokubaliwa na watawala kule mjengoni ni kujua kusoma na kuandika so no issue at all.
I like / love this my dear country
 
Angalia isije ikawa ni coincidence tu inatokea kila unapoamua kungalia TV na yeye anaonekana Manyara...
Mkuu kwa taarifa yako mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa hawa watendaji kwa serikali hii, na ni haki yangu kuhoji...
 
Aliyeweka MITIHANI alikuwa na akili sana na aliwaza mbali sana. Mitihani ni kipimo cha kupima IQ ya mtu ikoje. akifeli jamii inatakiwa kuachana nae na kuendelea na waliofaulu. Ukiwakumbatia au kuwabeba watu waliofeli mitihani ni majanga ktk jamii. Naishia hapo.
 
Back
Top Bottom