chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Msemaji wa chama cha mapinduzi (CCM) Christopher Ole Sendeka amesema maandalizi ya mkutano wa kumkabidhi chama mwanachama wao John Pombe Magufuli umekamilika na hilo ni suala la utamaduni na sio katiba
Ameendelea kusema kuwa baada ya Magufuli kuwa mwenyekiti Safu yote ya sekretarieti ya chama iliyokuwa chini ya Kikwete itang'atuka na kumpa Magufuli nafasi ya kuchagua watu wengine
Ameendelea kusema kuwa baada ya Magufuli kuwa mwenyekiti Safu yote ya sekretarieti ya chama iliyokuwa chini ya Kikwete itang'atuka na kumpa Magufuli nafasi ya kuchagua watu wengine