mbuzimawe99
JF-Expert Member
- Nov 23, 2021
- 232
- 801
Babu Kijana akili zako zipo kichwani kweli au??,yaani apore Ml.90 ya Mtu alafu aonywe tu,yeye ni nani??kama ni hivyo basi wote waliofungwa Magereza nchi nzima waachiwe na waonywe tu!!!
Huyu nae alikuwa anamajivuno, kuna siku alikuwa anauliza unanijua mimi nani? Siku hizi kapoa km maji ya mtungiBado Happy
Hapo naskia alkua hadhulum. Alisaidia Sana watu waliodhulumiwaga haki zao hapo iringaBado Happy
Siji isahau hii video. RIP Anne
They're act speak the same.Use of unnecessary forceHow? By the way una umri gani?
Mkuu unajitambua kweli mpaka unaandika hiviKashahukumiwa miaka 30,kesi gani tena za kipuuzi km hizo zinaendelea?si atumikie kifungo tu.
Huu ni upumbavu kukaa tunajadili upuuzi wa mtu aliyefungwa.
Kashafungwa otherwise mumuachie mumuhukumu tena.
Huu ni uonevu.
Nchi ni yetu sote,
Hamna binadamu yuko sawa mnamtesa mtu kijingajinga tu.
Kama Sabaya alikosea si anaonywa na adhabu aliyopata inatosha.
Nyie watu mnaishi kama wanyama aisee.
Kuna kipo kibaya hapo?Mkuu unajitambua kweli mpaka unaandika hivi
Kwa maandishi yako wewe ndo mnyama na usiye na ufahamu hata kidogo. Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na si huruma, kama ana haki ataipata huko mahakamani.Kashahukumiwa miaka 30,kesi gani tena za kipuuzi km hizo zinaendelea?si atumikie kifungo tu.
Huu ni upumbavu kukaa tunajadili upuuzi wa mtu aliyefungwa.
Kashafungwa otherwise mumuachie mumuhukumu tena.
Huu ni uonevu.
Nchi ni yetu sote,
Hamna binadamu yuko sawa mnamtesa mtu kijingajinga tu.
Kama Sabaya alikosea si anaonywa na adhabu aliyopata inatosha.
Nyie watu mnaishi kama wanyama aisee.
Mahakama sio kanisa. Kila kesi ina hukumu yake hakuna hukumu inayo futa makosa yote hata ambayo hayajatajwa kimahakamaKashahukumiwa miaka 30,kesi gani tena za kipuuzi km hizo zinaendelea?si atumikie kifungo tu.
Huu ni upumbavu kukaa tunajadili upuuzi wa mtu aliyefungwa.
Kashafungwa otherwise mumuachie mumuhukumu tena.
Huu ni uonevu.
Nchi ni yetu sote,
Hamna binadamu yuko sawa mnamtesa mtu kijingajinga tu.
Kama Sabaya alikosea si anaonywa na adhabu aliyopata inatosha.
Nyie watu mnaishi kama wanyama aisee.
We kama.una chuki nae kivyako,upeo mi nakuajiri wewe nikitaka.Una upeo mdogo sana, natamani kukuelewesha lakini kwa uandishi huu itakuwa kazi bure. Kifupi kila shauri husikilizwa kwa wakati wake, huwezi kuendesha mashauri mawili kwa pamoja so relax kama kaka yako ana haki ataipata maana hiyo ndo kazi ya mahakama.
Pole nawapa wazazi wako then nakupuuza, bye.We kama.una chuki nae kivyako,upeo mi nakuajiri wewe nikitaka.
Nimesema kifungo alichopo atumikie sio kuendekeza safari za mahakamami kila siku.
Nishakupuuza kabla.GOPole nawapa wazazi wako then nakupuuza, bye.
Kasi hii bila hukumu hizi kumhusisha Magu, si sahihi, mahakamani ifikie hatua ione haja ya kutoa neno dhidi ya Magu, hamna asiyejuwa hawa walifanya kwa amri/baraka zake, sawa tu kuwa hamna asiyejuwa kuwa kesi ya Mbowe ni sehemu ya adhari za Magu!Ndiye alikuwa anawatuma
Kuna tetesi kwamba hii kesi ni kanya boya. Wana fumba watu macho. Ata tokea mbele kwa mbele. Tusubiri kesi aliyo kata rufaa.Kesi juu ya kesi, iwe fundisho kwa chawa wote wanaoujua kujikombabkwa wakuu wao na kuvuka mipaka yao ya kazi!!