Ole Sabaya : Mungu yupo kazini

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,390
5,310
Lengai Ole Sabaya mara baada ya hukumu amesema na kuwataka ndugu zake kuwa wasiogope kwani Mungu yupo kazini muda wote kwa ajili ya maisha yake.
 
Anatakiwa kila mmoja wao kutubu na kumrudia Mungu. Mungu mwenye upendo atawasamehe, atawapokea na kumfanya kila mmoja kuwa kiumbe kipya. AMEN.
 
Mataga tuliwaambieni kuwa huyu jamaa hachomoki ila mkavimba kichwa. Oneni sasa kesho anapigwa upara na chupa
 
Anatakiwa kila mmoja wao kutubu na kumrudia Mungu. Mungu mwenye upendo atawasamehe, atawapokea na kumfanya kila mmoja kuwa kiumbe kipya. AMEN.
Ni kweli kabisa, hauwezi kukata watu mikono na masikio halafu unasema Mungu yuko kazini. Mungu hayuko radhi na Wapumbavu. Walaaniwe wote waliomtuma Sabaya kufanya unyama huu. Amen.
 
Back
Top Bottom