Kesi ya kwanza ilikuwa ya unyang'anyi na wizi kwa kutumia silaha.Kesi mpya au kesi ni ileile lakini anasomewa mashitaka mapya?
Kesi mpya, kwamba Jamhuri imesajili kesi nyingine?
Anasomewa Mashitaka mengine.
Kumbuka ana kesi tano,hiyo iliyomalizwa ndiyo upelelezi ulikuwa umekamilika,zingine zinaemdelea kukamiliaha upelelezi.Kesi mpya au kesi ni ileile lakini anasomewa mashitaka mapya?
Kesi mpya, kwamba Jamhuri imesajili kesi nyingine?
😂 😂 Na mimi ndio nashangaa hapaSi ana kesi ya uhujumu uchumi tayari au bado anaendelea kuhujumu?
Afungwe haraka huyo jangiliAliye Kuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anakabiliwa na kesi Mpya ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi mpya inayo mkabili na wenzake Sita.
Kuna funzo hapo tena kubwa snKutoka kuvaa suti na kupigiwa salute mpaka kuvaa jezi na kupigwa mabuti.