Ole Sabaya: Dkt. Magufuli anastahili ushindi wa 100%

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
Akihojiwa na Global TV Mkuu wa wilaya ya Hai na kada wa Chama Cha Mapinduzi Lengai Ole Sabaya.

*JPM Hakupigiwa Kura Ila Zilikuwa ni Kura Kwajili ya SGR, Elimu Bure, Uchumi wa kati, na zaidi kura kwa Heshima kwa Mtanzania wa uchumi wa kati -Ole Sabaya*

NI DC WA HAI *LENGAI OLE SABAYA* AELEZEA KWA NINI WATANZANIA WALIMCHAGUA RAIS *DKT JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI* KUWA RAIS WAO

AELEZEA WALICHOKUWA WANACHAGUA WATANZANIA NI ELIMU BURE YA WATOTO WAO TOKA MSINGI MPAKA SEKONDARI,WALICHAGUA ULINZI WA RASILIMALI ZAO KAMA WANYAMA MADINI NK, UFUFUAJI WA SHIRIKA LA NDEGE, UPANUZI WA MIUNDOMBINU ILI KUWEZA KUSAFIRISHA MAZAO YAO HARAKA NA KWA URAHISI, POWER OLE SABAYA AELEZEA NAMNA KORONA ILIVYOYUMBISHA MARAIS WOOTE DUNIANI ILA RAIS *DKT JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI* ALISIMAMA AKAWATETEA WATU WAKE NA LEO DUNIA INAFYATA.

*DC POWER OLE SABAYA* AMESEMA WATU KAMA *RAIS DKT JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI* HAWAZALIWI KILA SIKU, NA YAWEZEKANA HATA JPM MWENYEWE HAJIJUI, ILA KUNA KIPAJI AMBACHO MUNGU AMEMUWEKEA CHA ZIADA.

Huyu umaskini umefanya amekuwa kipofu, sasahivi hawezi kuona hata mazuri kidogo ya wazazi wake walio mlea mpaka akaonekana na Magufuli isipokuwa anaona ya mazuri ya Magufuli pekee. Hizi njaa ni balaa ni kutwa unasifia ili uendelee kukalia kiti, siku zote hawa wanaosifia kwenye kazi ni wavivu hawana ubunifu hata kidogo ni kujipendekeza kwa mamlaka za uteuzi, huwezi kumsikia Anthony Mtaka ana sifia kipuuzi hizi.
 
Na wewe mbowe kakupofusha kila ukimsikia Sabaya unamwaga povu tu
 
Huyu umaskini umefanya amekuwa kipofu, sasahivi hawezi kuona hata mazuri kidogo ya wazazi wake walio mlea mpaka akaonekana na Magufuli isipokuwa anaona ya mazuri ya Magufuli pekee. Hizi njaa ni balaa ni kutwa unasifia ili uendelee kukalia kiti, siku zote hawa wanaosifia kwenye kazi ni wavivu hawana ubunifu hata kidogo ni kujipendekeza kwa mamlaka za uteuzi, huwezi kumsikia Anthony Mtaka ana sifia kipuuzi hizi.
Kwa hiyo unamchongea Mtaka?.
 
Pamoja na Magu kuwa mpenda sifa kupindukia lakini juzi niliona sura yake imeanza kusikia aibu na kuchukia sifa za kujikomba zinapozidi na anaona hawa manunda sasa wananiona mimi zuzu sio!
Sugu aliwahi waambia wabunge mnasifia mpaka msifiwaji anashtuka nyie hamshtuki tuu?
 
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom