Ole Nangole aliyekuwa mbunge wa jimbo la Longido(CHADEMA), ashindwa Rufaa ya Ubunge, Uchaguzi kurudiwa

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
pic+nangole.jpg

Aliyekuwa Mbunge wa Longido (Chadema), Onesmo Ole Nangole

Kesi iliyofunguliwa na Mhe. Nangolo kupingwa maamuzi ya Mahakama kuu Arusha imetupiliwa mbali leo hii Mahakama ya Rufani Tanzania.

Uchaguzi unarudiwa na Maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha yanaendelea.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Longido kupitia CHADEMA, Onesmo Ole Nangole alilalamikiwa na aliyekuwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Dk. Steven Kiruswa aliyetetewa na mawakili Dk Masumbuko Lamwai na Daud Haraka.

Mlalamikaji ndugu Kiruswa aliwakilishwa na Wakili msomi Dr.Masumbuko Lamwai na Wakili Haraka. Katika shauri hilo, dai la msingi la mlalamikaji bwana Kiruswa lilikua ni:

1.Kutumika kwa lugha ya matusi na kashfa wakati wa kampeni kutoka kwa mh Onesmo Nangole.

2.Kuwepo kwa wapiga kura kutoka nchi jirani ya Kenya walioletwa na Mh Nangole

3.kutumika kwa magari ya Chadema kwenye kusindikiza na kubebea masanduku ya kupigia kura

4.Mkurugenzi wa Uchaguzi kutangaza matokeo baada ya mgombea wa CCM kutolewa nje.

5.Kutokea kwa vurugu ndani ya chumba cha kuhesabu matokeo

Mahakama kuu Arusha yamvua ubunge Onesmo Ole Nangole (CHADEMA), yaamuru uchaguzi urudiwe
 
Kesi iliyofunguliwa na Mhe. Nangoro kupingwa maamuzi ya Mahakama kuu Arusha imetupiliwa mbali leo hii Mahakama ya Rufani Tanzania.

Uchaguzi unarudiwa na Maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha yanaendelea.
Lumumba wanaua mtu leo!
 
Kesi iliyofunguliwa na Mhe. Nangoro kupingwa maamuzi ya Mahakama kuu Arusha imetupiliwa mbali leo hii Mahakama ya Rufani Tanzania.

Uchaguzi unarudiwa na Maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha yanaendelea.
Ndio nani??
Wa Jimbo gani??
Kupitia Chama Gani??
Ilikuaje Mwanzo??
Tulia mkuu, uandike vizuri
 
kila chama kijiandae na haki itendeke na ionekane kutendeka wakati wa uchaguzi wa marudio. kitakuwa kipimo cha kuenzi uhuru wa maoni na demokrasia ya mkiti mpya wa chama.
 
View attachment 579075
Aliyekuwa Mbunge wa Longido (Chadema), Onesmo Ole Nangole

Kesi iliyofunguliwa na Mhe. Nangoro kupingwa maamuzi ya Mahakama kuu Arusha imetupiliwa mbali leo hii Mahakama ya Rufani Tanzania.

Uchaguzi unarudiwa na Maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha yanaendelea.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Longido kupitia CHADEMA, Onesmo Ole Nangole alilalamikiwa na aliyekuwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Dk. Steven Kiruswa aliyetetewa na mawakili Dk Masumbuko Lamwai na Daud Haraka.

Mlalamikaji ndugu Kiruswa aliwakilishwa na Wakili msomi Dr.Masumbuko Lamwai na Wakili Haraka. Katika shauri hilo, dai la msingi la mlalamikaji bwana Kiruswa lilikua ni:

1.Kutumika kwa lugha ya matusi na kashfa wakati wa kampeni kutoka kwa mh Onesmo Nangole.

2.Kuwepo kwa wapiga kura kutoka nchi jirani ya Kenya walioletwa na Mh Nangole

3.kutumika kwa magari ya Chadema kwenye kusindikiza na kubebea masanduku ya kupigia kura

4.Mkurugenzi wa Uchaguzi kutangaza matokeo baada ya mgombea wa CCM kutolewa nje.

5.Kutokea kwa vurugu ndani ya chumba cha kuhesabu matokeo

Alaa! kumbe wansleta wapiga kura kutoka nchi jirani? Ndiyo maana Lowassa alienda kuomba kura akijidai anamasapoti Uhuru; kumbe ndivyo walivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikagombee kwa ACT, lengo ni kupata fursa ya kupinga matokeo tena maana najua piga ua lazima mshindi ataendesha kampeni kwa kilugha (kimasai). Mpaka 2020 bila Mbunge :):):)
 
View attachment 579075
Aliyekuwa Mbunge wa Longido (Chadema), Onesmo Ole Nangole

Kesi iliyofunguliwa na Mhe. Nangoro kupingwa maamuzi ya Mahakama kuu Arusha imetupiliwa mbali leo hii Mahakama ya Rufani Tanzania.

Uchaguzi unarudiwa na Maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha yanaendelea.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Longido kupitia CHADEMA, Onesmo Ole Nangole alilalamikiwa na aliyekuwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Dk. Steven Kiruswa aliyetetewa na mawakili Dk Masumbuko Lamwai na Daud Haraka.

Mlalamikaji ndugu Kiruswa aliwakilishwa na Wakili msomi Dr.Masumbuko Lamwai na Wakili Haraka. Katika shauri hilo, dai la msingi la mlalamikaji bwana Kiruswa lilikua ni:

1.Kutumika kwa lugha ya matusi na kashfa wakati wa kampeni kutoka kwa mh Onesmo Nangole.

2.Kuwepo kwa wapiga kura kutoka nchi jirani ya Kenya walioletwa na Mh Nangole

3.kutumika kwa magari ya Chadema kwenye kusindikiza na kubebea masanduku ya kupigia kura

4.Mkurugenzi wa Uchaguzi kutangaza matokeo baada ya mgombea wa CCM kutolewa nje.

5.Kutokea kwa vurugu ndani ya chumba cha kuhesabu matokeo

Hy bwana hua simwelewi ongea yake kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom