Ole Naiko: Mnatuonea watu wa Monduli

Kwa mujibu wa kanuni na uendeshaji wa TIC kama inavyoonyeshwa kwenye tovuti yake, wao TIC ndio hutafuta leceni, mambo ya ushuru na forodha na kadhalika kwa niaba ya wawekezaji.

Ikiwa Naiko anadai RDC walikwenda kwake wakiwa wamesajiliwa BRELA na wana kibali cha TRA, je hii kampuni ilisajiliwa Tanzania kama makao makuu? kama ni kampuni ya nje ya uwekezaji, ilikuwaje wakaacha kwenda TIC na kukimbila kwingine kote kisha warudi TIC?

He is trying to fry himself! JF tuna kuni, kiberiti na mafuta atuambie ni saa ngapi tuanze kumkaanga!


http://www.tic.co.tz/

Tanzania Investment Centre (TIC)
ecblank.gif
Tanzania Investment Canter (TIC) is the first point of call for potential investors, a “one
stop facilitative canter for all investors”, engaging in
marketing Tanzania as an attractive investment destination.
It has as well established zonal offices in Moshi and Mwanza.
ecblank.gif

TIC is charged with:
  • Assist in incorporation and registration of enterprises.
  • Obtain licenses, work permits, visas, approvals.
  • Sort out any administrative barriers.
  • Promote both foreign and local investment activities.
  • Secure investment sites & assist investors to establish Export Processing Zones(EPZ).
ecblank.gif
Tanzania Investment Canter (TIC) was established in 1997 to be “the primary agency of Government to coordinate, encourage, promote and facilitate investment in Tanzania and to advise the Government on investment related matters”. All Government departments and agencies are required by law to cooperate fully with TIC in facilitating investors.

Facilitator.jpg

  • Grant certificates of incentives, investment guarantees and
    register technology agreement for all investments, which are
    over and above US$ 300,000 and US$100,000 for foreign
    and local investments respectively.
  • <LI type=square>Provide and disseminate up to date information on existing
    investment opportunities, incentives available.
  • Assist all investors whether or not registered by TIC.
TICServices.JPG


Certificates of incentives:

The Centre issues a formal certificate of incentives. Although investments in mining and petroleum sector are obliged to follow the approval process in the Mining Act 1998 and Petroleum (Exploration and Production) Act, 1980, the Centre will help investors to obtain authorizations required by other laws to set up and operate their businesses.


Requirements for the certificate of incentives:
  • Three copies of the projects business plan/feasibility study
  • One copy of Memorandum & Articles of Association
  • One copy of certificate of incorporation
  • Three copies of dully filled TIC application forms
  • One copy of company board resolution
  • One copy of evidence of land ownership
  • One copy of evidence of financing
  • Covering letter
Investors’ access to land


Tanzania Investment Centre has established a land bank, currently with 2.5mn hectors. As foreigners are not allowed to own land, the ownership is vested to TIC and an investor acquires a derivative title from TIC.


TICLand.JPG



Export Processing Zones:

The EPZ policy places emphasis on products that use local
materials such as textiles and garments, leather goods, agroprocessing,and the lapidary industry. Incentives offered to EPZ exporters include:
  • Exemption from corporate income tax for the first 10 years; after 10 years, a reduced tax of 25% rather than the ordinary 30%.
  • Exemption from withholding tax on dividends and interest for the first 10 years.
  • Exemption from all taxes and levies imposed by local gov’t for goods and services produced or purchased in the EPZs.
  • Exemption from potential foreign exchange control and
    restrictions.
  • Exemption from pre-shipment inspection requirements.
  • On-site customs inspection in lieu of off-port inspection.
  • Remission of customs duty, VAT and any other tax payable on goods purchased for use as raw materials, equipment, and machinery, or goods and services related to manufacturing in the EPZs (except motor vehicles, spare parts, and consumables).
  • Provision of temporary visas at the point of entry to key
    technical, management, and training staff for a maximum of period of 30 days.
  • Access to high-quality infrastructure.
 
Huyu jamaa is on his way out period. He knew very well that he was out the door before the Richmond saga. He cannot perform. Anything else said would be a lie.
 
Mkabila utamjua tu,kwa matendo!yeye angejitetea bila ya kusema maneno kama haya.Viongozi wetu wa Dini wa siku hizi bwana.wamekaa kibiashara sana.Mungu atuepushie Mbali.Huyu Asikofu Laizer ni Mpuuzi na Mla Rushwa tu!anatetea mtu Mfisadi ili khali anjua ufisadi ni dhambi!

Lowassa kama Mwinyi?mwenye kitabu cha Uongozi na Hatma ya Tanzania,naomba aweke copy yake hapa.
 
ole naiko has a point,kama mwakyembe alitaka ku probe usajili mzima wa richmond lazima angetakiwa kuwahoji all licencing authority ambao ni HALMASHAURI YA JIJI[AFISA BIASHARA]-LESENI YA BIASHARA,MAMLAKA YA MAPATO-TAX CLEARANCE CERTIFICATE,BRELA,WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA - LESENI,BANK ILIYOMPA BARUA,WAKILI ALIYEMUAPISHA ets....tofauti na hapo tuache ushabiki..tu,TIC wao hutoa approval ya investment baada ya kuridhika na document za hao wengine...kama wao wamepitisha na mwekezaji ana meet requirement hawawezi kumnyima...

...sioni ubaya kwa aliyoyasema ole naiko..ameamua kusema ukweli ,wakitaka na yeye wamfukuze kazi!!! period!!!

Sijakuelewa ndugu PM,
Kwamba unakubaliana na Ole Naiko kwamba kamati ya Mwakyembe ilikuwa inatafuta visa na watu wa Monduli? Kamati ilikuwa na kazi ya kutafuta ukweli kuhusu uhalali wa Ricmond, na sio uwepo wa watu wa Monduli mahali fulani. Huyu jamaa anapindisha ukweli wa mambo. Lazima tumuwashie moto tu!
 
Ole Naiko, Ole Naiko!

Aache kuongea kauli ambazo hazina mwelekeo.

Naona huu mkakati wa kujisafisha ni wa kiwango cha chini kupita maelezo. Ole Naiko alikua wapi siku zote asiyasema haya ya sasa? Kwa nini hadi EL alipoanza kutaka kujisafisha ndipo na yeye anafuata? Angeongea haya mara baada ya ripoti ya bunge ningeelewa kidoooogo.

Kuna mtu amemwambia kwamba wamasai wanachukiwa Tanzania? Uweo wake wa kufikiri una ukomo gani? Au anataka kutueleza kwamba EL alihusika kumfanya yeye mkurugenzi wa TIC?

Sasa hivi Severe naye anawweza kuibuka na kudai kwamba kuondolewa Maliasili ni ukabila!
 
Wakuu safi sana. Huyu kweli ni mpumbavu mtupu.Lakini si tunajua wapumbuvu haelewi hadi umkandamizie kwenye huo ubongo? Hebu tumweleze hivi.

1
.Aliharibu pale alipotoa cheti cha uwekezaji na wakapata tax exemption washikaji wa Richie huku akijua hiyo kampuni ilikuwa feki.​
hili ni kosa kubwa brother ,ebo.

2.Kamati ikiundwa na ukaitwa haina maana unatafutwa.ni kutaka kujua jambo kutokea upande wako.Kuhisi kuwindwa ni upuuzi tu.Nenda kasikilize kwanza .kwani hawakukuliza kwa nini ulitoa cheti kwa Richmund? Hawakukuliza ni nani au kampuni ya aina gani inastahili cheti cha taasisi yako?

3.Kwa kawida ukiletewa summons huwezi kuilalamika hiyo summons kabla hujaenda. Ndio maana katibu wa bunge hakukujibu.In maana hadi leo hujajua kwa nini hakukujibu? Kwani wewe ni mbunge?

5.Ikiwa wewe ni mkongwe hapo TIC ulishindwa vipi kuhakiki identity ya Ricmund hadi wakapewa cheti? Sasa huoni hicho cheti pia nacho ni feki ab initial .Kile cheti chako brother kiliwapa kichwa na mahali popote walikuwa wanakionyesha kwanza hicho kwa hiyo wengine wakaona ni kampuni fresh wala hawakuhangaika na registraion doc. ...Sijui hata kama linaingia kwenye huo ubongo Ah.

4. Mimi na wengine wote wala hatutaki kujua umetoka wapi.Kama wewe Mmasai au Mmeru hatutaki kujua .Unajipeleka huko mwenyewe Halafu kwanza , eti Kwani Lowasa ni Mmasai? kwani hujui Lowasa ni Mmeru by birth? Sasa wewe mmasai unajifanya mmeru halafu unatangaza Wameru tunaonewa and vise versa.Lol

5.Kuna watu safi huko Monduli lakini wewe ni mmoja wao? Kama mlicolude na Lowasa mzee usije ukasingizia Umondoli wenu sisi tunataka hoja ..toa point ...sio uongee upupu kinamna namna ili tukuonee huruma .Ulihusika na ni mmoja wao .Ukimkana Lowasa atatoboa yote siku akiwa kwa Pilato ...mahakamani. period
EL ni Mmeru kabisa kama anabisha aje hapa jf kupinga halafu aone wamasai wa kweli watakavyomjibu kwa ushahidi.wewe ole naiko funga mdomo wako mana unajitafutia balaa na ukabila hapa haupo
 
ole naiko has a point,kama mwakyembe alitaka ku probe usajili mzima wa richmond lazima angetakiwa kuwahoji all licencing authority ambao ni HALMASHAURI YA JIJI[AFISA BIASHARA]-LESENI YA BIASHARA,MAMLAKA YA MAPATO-TAX CLEARANCE CERTIFICATE,BRELA,WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA - LESENI,BANK ILIYOMPA BARUA,WAKILI ALIYEMUAPISHA ets....tofauti na hapo tuache ushabiki..tu,TIC wao hutoa approval ya investment baada ya kuridhika na document za hao wengine...kama wao wamepitisha na mwekezaji ana meet requirement hawawezi kumnyima...

...sioni ubaya kwa aliyoyasema ole naiko..ameamua kusema ukweli ,wakitaka na yeye wamfukuze kazi!!! period!!!
Mimi ninaona kwa kauli zake za Utetezi kuzihusisha na Ukabila bila Udhibitisho wowote , basi amejifukuzisha kazi.kwa sababu TIC kama institution haina kabila, wapo wazaramo/ngoni/masai etc.
Yeye angejitetea au angitetea TIC kwa Facts , sio kuegemea ngao ya ukabila.
Hizo Facts ulizo ziweka wewe angeweza kuzitumia kuitetea TIC.
Maana tanzania tunashudia alot investor wanakuja na brief cases tu, badala ya tangible things which can denote that person to be a real investor.
one ni detail profile ya Directors, Pili Uwezo wa Kifedha, Wataalamu aliokuwa nao ambo zitakwenda na Sheria zetu za kuajiri Tx, tax clearance anakotoka,Published Accounts ikiwezekana Past 5 years etc
La Pili ndugu yangu ni ikiwa kila mtu atajitetea kwa ukabila/udini wake , kweli patakali hapa, maana Harrison alisema kuna watu walifikiri ni vita dhidi ya uislamu maana Msabaha alihusika na Karamagi, mara ikawa dhidi ya Lowasa and his cronies. Sasa Kesho kutwa sijui itakuwa Mnyakyusa ndio analia au mpare/Msukuma au Mchaga etc.
Ndio maana kuja nahaja ya ku-reform taratibu zetu za Ajira na uteuzi ili kuepuka upuuzi kama huu
 
Huyu bwana anaona anataka kuleta kitu kingine kiitwacho Ukabila ili kukwepa kutoka kwenye kashfa hii ni pia kumtetea bwana EL. Hawezi kutupeleka kwenye ukabila kirahisi hivyo .....TIC haiwezi kukwepa lawama hapa kama Richmond imejulikana kuwa ni kampuni hewa!!
 
Heshima mbele......Duh, hapo kwenye hiyo posti ya Rev kwa kweli na nimeenda kwa site mambo ni mambo.... Msinishangae nikisema kuna uwezekano wakuu wenye kuitwa "WATEKELEZAJI" hawajui function zao kabisaaaa... Nimesoma maelezo na kujitetea kwa Bin Naiko kwenye Thisday leo na kwa kweli nimeshituka sana kuona jinsi wanavyojitangaza na jinsi anavyojitetea!!!

Eee Molla Uibariki Tanzania yetu!!!! Kweli JK ana kaaaz kweli kweli kutimiza azma yake ya maendeleo na "Maisha bora kwa kila mTz" manake kama ni watendaji kweli amekosa!!!!!

By the way, nadhani huyo mheshimiwa aliongea on his own behalf and NOT waMaasai.... Sikumbuki siku alichaguliwa rasmi kuwa Laiboni wetu popote na hivyo alichokisema ni kama yeye na SIO kwa niaba ya Maasai "Maa"........ Mimi sina shida huku kijiweni kwangu ninapiga mzigo kama kawa na hakuna anayentenga na kunipiga vijembe!!!
 
Tehe tehe! Vijindoano vya kamati bado zawachoma choma, tehehehe, tapatapa tapatapa za vijidagaa navyo!. Silence should have been his best option!

Hao waandishi tehehehe:rolleyes:, ngoja niwaulize....Mliuliza nini?

Otherwise ole wenu naye yiko kwenye "RICHMONDULI":D tehe heh

Huu ukabila wa wapi? "RICHMONDULI"?

Give me a Break! au kwa lugha yangu...
 
"...And in his eight-page statement to the media, Ole Naiko stated that he was placing his fate firmly in God’s hands.

The TIC chief’s unexpected remarks came against the background of what is increasingly looking like a carefully-orchestrated campaign to try and clear Lowassa of any wrongdoing after the Richmond fall-out.

Various newspapers have begun churning out articles on literally a daily basis, singularly praising the ex-premier’s ’’courage and wisdom’’ in resigning over the Richmond corruption scandal and criticising the findings of the Mwakyembe committee."


This Day, 26 Feb, 2008.

This is it, my people.
 
Huoni ubaya wa kupotosha maudhui ya kamati kuwa ni kushambulia kabila la Wamasai au wana Monduli?

Hujui kama ripoti ya kamati ilipendekeza kuboreshwa kwa BRELA]

....its fine pia kama ...watakuwa wamependekeza kuboreshwa kwa TRA,KITENGO CHA LESENI CHA JIJI...YAANI WOOTE WANAOHUSIKA NA UTOAJI WA LESENI ..UKWELI KUNA UDHAIFU KWA WOTE ...SI VEMA LAWAMA ZOTE KWENDA TIC...KOTE HUKO WANA SHARTI LA KUKAGUA PHYSICAL ADRESS , MAHESABU AND THE LIKE KWA KILA BIASHARA MPYA....LAKINI HUWA WANAPITISHA TU.....

..PIA MAWAKILI PIA WAAMBIWE ...UKWELI MAANA PIA KILA MTU AKITAKA KUHALALISHA UWONGO WAKE SIKU HIZI UTAMSIKIA ANAKUJA NA KIAPO [AFFIRDAVITY]..KUTOKA KWA MAWAKILI WETU...ITS REALLY A PROCESS..RATHER THAN SINGLED BLAME!!!!
 
Huoni ubaya wa kupotosha maudhui ya kamati kuwa ni kushambulia kabila la Wamasai au wana Monduli?

Hujui kama ripoti ya kamati ilipendekeza kuboreshwa kwa BRELA]

....its fine pia kama ...watakuwa wamependekeza kuboreshwa kwa TRA,KITENGO CHA LESENI CHA JIJI...YAANI WOOTE WANAOHUSIKA NA UTOAJI WA LESENI ..UKWELI KUNA UDHAIFU KWA WOTE ...SI VEMA LAWAMA ZOTE KWENDA TIC...KOTE HUKO WANA SHARTI LA KUKAGUA PHYSICAL ADRESS , MAHESABU AND THE LIKE KWA KILA BIASHARA MPYA....LAKINI HUWA WANAPITISHA TU.....

..PIA MAWAKILI PIA WAAMBIWE ...UKWELI MAANA PIA KILA MTU AKITAKA KUHALALISHA UWONGO WAKE SIKU HIZI UTAMSIKIA ANAKUJA NA KIAPO [AFFIRDAVITY]..KUTOKA KWA MAWAKILI WETU...ITS REALLY A PROCESS..RATHER THAN SINGLED BLAME!!!!

Samahani naomba na Mimi nisionekane Kama kamati ya Mwakyembe dhidi yako, ukipitia alicho weka Rev Kishoka Utaona katika Mchchato wa Investor TIC ndio wanamtafutia mwekezaji TIN, Leseni etc.
Pili ukumbuke TIC ni Chombo kikubwa na Nafikiri kimepewa Nyenzo kama wataalamu na wanalipwa tofauti na Hapo City council, hivyo output yao ya kazi inatakiwa iendane na heshima na wadhifa waliopewa. Kuhusu Hizi Affidavity etc , still TIC wakiwa knowledgable people na resource wangeweza ke-refer back where the company comes from ili kupata detail za kutosheleza.
Tatu tukumbuke baada ya Richmond kupewa kandarasi walianza kuhaha kutafuta Bankers Guarantee, ambayo walishindwa kuipata toka katika Bank yao huko America, wakaanza kutaka kuwafunga kamba CRDB au Serekali ili watoe hiyo Dhamana.
Sasa huyo TIC baada ya kuona huo udhaifu alichukua hatua Gani, si angeweza kufuta hiyo investment certificate, na TIn number na Leseni nyingine kama ya Biashara.?
au ndio walikuwa wana msubiri Harrison waseme ana uadui na watu wa Monduli.
 
Wakati mwingine unaweza kujiuliza kama kweli maoni ya Naiko yanaendana na nanafasi yake, amekwepa hoja na hivyo inaonesha kuwa kichwa chake hakukipa kazi.

Wanakamati ya bunge hawakumuhoji yeye kama mtu wa Monduli bali ofisa anayeshughulukia umma na usalama wake(upande wa uwekezaji)
Namshauri kuwa bado ana nafasi ya kutueleza ukweli na sio mambo ya umonduli hapa
 
"In a somewhat surprise move, Ole Naiko yesterday compared what he described as ’attacks’ on senior government officials who hail from Monduli District, Arusha Region - including Lowassa and himself - to ’’ethnic cleansing.’’

’’There is a danger of fomenting hatred against people who come from Monduli, and this can lead to ethnic cleansing,’’ the TIC boss told a news conference at the Centre's offices in Dar es Salaam."


ETHNIC CLEANSING??? NOT EVEN THE KENYAN CRISIS CAN BE TERMED ETHNIC CLEANSING!

HUYU OLE NAIKO AMELITIA AIBU TAIFA, YEYE MWENYEWE NA WATANZANIA WOTE KWA UTETEZI WAKE WA KIJINGA...NA WAHENGA WALISEMA, UKITAKA KUMUONA MWANAUME WA SHOKA, MSUBIRI UMWANGALI WAKATI WA MATATIZO ANASISIMAMAJE...YEYE NA EL WAMEDHIHIRISHA NI WABABAIKAJI YANAPOTOKEA MATATIZO, NA HIVYO HAWAFAI KUONGOZA JAMII YETU.
 
Lowasa ni kama mfamaji hutapatapa.Hata kukipita nyasi kwenye mawimbi basi hushikilia hizo nyasi kwa nia ya kwamba zitamuokoa.
Hata akisafisha namna gani hatakuwa safi daima kisiasa kwani atakuwa na madowa tu.Kwa Kiswahili halisi tunasema LOWASA NI MCHAFU KOGA.

Kamati teule ya Bunge kuhusu saga la Richmond haliwania kupiga ngwara mbunge wa Monduli wala wa Bagamoyo na wala wa Tanga. Ndugu Mwapachu pia kajiuzulu mwenyewe alipoona mambo yamemshinda na ujambazi unaendelea.
Sasa huyu anaesema Mbunge wa Monduli ndio alikuwa ni “Bangusilo” je watu wa Tanga watasema kwamba ndugu Mwapachu pia ni kafara la tume teule?

Wacheni mambo ya upuuzi na kusingizia vitu. Lowasa amefanya makosa yake na kuiweka nchi gizani kwa hiyo ilikuwa ni lazima awajibike.
UKIVULIA NGUO MAJI LAZIMA UOGELEE. Lowasa amefanya kama vile ilivyotakiwa, ameogelea.
Iliyobakia ni kumpeleka mahakamani akadadiswe vizuri ili arudishe zile fedha alizopewa na wakuu wa Richmond kama “BAHSHISH” kama zi hiyo “RUSHWA” halisi. Sasa hivi serikali inalipa Richmond 152m/- kwa siku wakati wanachi wake hawawezi kupata kutumia dola moja kwa matumizi ya kawaida.

Je Lowasa anapaswa kulipwa “pension” kwa uhalifu wote huu alioufanya? Katiba yetu inasemaje kuhusu hali hii? Au katiba inataka marekebisho ili mafisadi kama hawa wasipewe pension?
Sasa kama ni “Ethnic cleansing” itabidi AU ilete majeshi ili kulinda watu wa Monduli! Watu wanaropoka maneno tu! WENDA WAZIMU HAWA. Kweli mtu utamkinga mfisadi kwa kwa vile anatoka Monduli , Tanga, Bagamoyo au Arusha na kadhalika.

Ole Bakari Muhogo! (Picha sina ningelikuwekea hapa).
 
Samahani naomba na Mimi nisionekane Kama kamati ya Mwakyembe dhidi yako, ukipitia alicho weka Rev Kishoka Utaona katika Mchchato wa Investor TIC ndio wanamtafutia mwekezaji TIN, Leseni etc.
Pili ukumbuke TIC ni Chombo kikubwa na Nafikiri kimepewa Nyenzo kama wataalamu na wanalipwa tofauti na Hapo City council, hivyo output yao ya kazi inatakiwa iendane na heshima na wadhifa waliopewa. Kuhusu Hizi Affidavity etc , still TIC wakiwa knowledgable people na resource wangeweza ke-refer back where the company comes from ili kupata detail za kutosheleza.
Tatu tukumbuke baada ya Richmond kupewa kandarasi walianza kuhaha kutafuta Bankers Guarantee, ambayo walishindwa kuipata toka katika Bank yao huko America, wakaanza kutaka kuwafunga kamba CRDB au Serekali ili watoe hiyo Dhamana.
Sasa huyo TIC baada ya kuona huo udhaifu alichukua hatua Gani, si angeweza kufuta hiyo investment certificate, na TIn number na Leseni nyingine kama ya Biashara.?
au ndio walikuwa wana msubiri Harrison waseme ana uadui na watu wa Monduli.


august TIC hawamtafutii mtu kitu ..bali wao wamefacilitate na kuweka standard ya muda ambao wanataka mteja wao ahudumiwe...ni kati ya vituo bora....

kama umefikika TIC utanikubalia..mimi huwa nafika pale najua ninachosema pale TIC Kuna madawati yanayojitegemea ya watu kutoka..BRELA,TRA,UHAMIAJI,hadi watu wa ARDHI wana meza pale ets...wale hawako responsible kwa mkurugenzi wa TIC bali wamepewa meza pale ili kuweka dhana ya ALL IN ONE ROOM....mwekezaji akienda pale anapata huduma zote za msingi...kuliko kukimbizana na mafoleni ...kwa mwezi mzima kupata leseni...wao wanaondoa ukiritimba kwa kuweka standard ambayo watu wanatakiwa waitimize ili mteja apate leseni kuanzia ndani ya siku mbili au zaidi kwa ambaye maafisa wa idara husika zinazojitegemea walio pale wataamua....

so....wao ni kama center tu kama jina lao lilivyo....
 
Mimi swali langu ni kama Kampuni iliyoomba kibali ni Richmond Tanzania Limited na iliyopewa mkataba kwa mujibu wa kibali hicho ni Richmond Development Company LLC, je wao TIC walifanya nini kuwaambia serikali kuwa kampuni mliyoipa mkataba au inayowekeza siyo iliyopewa kibali?
 
august TIC hawamtafutii mtu kitu ..bali wao wamefacilitate na kuweka standard ya muda ambao wanataka mteja wao ahudumiwe...ni kati ya vituo bora....

kama umefikika TIC utanikubalia..mimi huwa nafika pale najua ninachosema pale TIC Kuna madawati yanayojitegemea ya watu kutoka..BRELA,TRA,UHAMIAJI,hadi watu wa ARDHI wana meza pale ets...wale hawako responsible kwa mkurugenzi wa TIC bali wamepewa meza pale ili kuweka dhana ya ALL IN ONE ROOM....mwekezaji akienda pale anapata huduma zote za msingi...kuliko kukimbizana na mafoleni ...kwa mwezi mzima kupata leseni...wao wanaondoa ukiritimba kwa kuweka standard ambayo watu wanatakiwa waitimize ili mteja apate leseni kuanzia ndani ya siku mbili au zaidi kwa ambaye maafisa wa idara husika zinazojitegemea walio pale wataamua....

so....wao ni kama center tu kama jina lao lilivyo....

Sawa Bw Mzee, lakini still kuwepo kwa hao wazembe -Desk officers wa Ardhi, City Council, Brela etc, hakuondoi Responsibility ya TIC, hawa wamepewa Responsibility kubwa saana, so wasikimbie responsibility yao.
Ni sawa Wewe Ukiwa kama Mzazi, una mtoto Shule, na mtoto anakupiga hadithi, hujui what is happening Between Shule barabara na Nyumbani, Je inakuondolea wewe responsibility yako ya kujua Mtoto wako anaendeleaje shule? na ikiwezekana unakwenda a step further kwenda kuulizia kitu shuleni, kitu ambacho unataka clarification.
Tusiwe wale wazazi wetu wa zamani, waliokuwa wana danganywa na watoto wao, oh baba nimevunja biology, baba anatoa 60thou, kesho baba ni hivi, baba anatoa hela etc.
Sasa si, wasasa kwa kuwa tunajua Biology nini then mtoto hawezi kukudanganya kwa hili au akikupiga fix, then unajua njia zako za kumshika.
Kwa mantiki hiyo hiyo TIC ninategemea ina watu makini (knowledgable people) to know reputable organisation or showdy company one.
Ndio maana kuna terms of reference kwenye evaluation of a person or company.
Ilikuwaje wa tanzania wa Usa wakaijua hii kampuni si walivyo jiwakilisha kwa vyombo vya serekali . Kwamba hajasajiliwa etc etc, wakati wenzetu wa TIC hawakuweza kufanya hivyo. Kwa kutumia Mtandao, na mawasiliano na vyombo vinavyo husika kama ubalozi wetu USA, taasisi za America kama Bank, Business regestration Authorities etc
 
Back
Top Bottom