Ole Millya: Vidonda ‘urais’ wa Lowassa havijapona

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Mirerani. Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara, James Ole Milya amesema wananchi wengi walikuwa na matarajio ya aliyekuwa mgombea urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa kushinda nafasi hiyo ila kwa kuwa Rais John Magufuli ameshinda, hawana budi kufanya naye kazi.

Akizungumza na wakazi wa mji mdogo wa Mirerani, Ole Milya alisema jamii na viongozi bado wana vidonda vikubwa mioyoni na havijapona kutokana na matarajio yao kwa Lowassa kutotimia.
James_Ole_Milya_pic.jpg
 
Back
Top Bottom