Ole Millya "Nimehamia CCM kwa maslahi ya wananchi"

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Samanjiro kwa tiketi ya Chadema, James Ole Millya, ambaye sasa amehamia CCM ametaja sababu za kuhama chama hicho kuwa ni kwa naslahi ya wabanchi wake.

Amlisema Jimbo la mpinzani kufikiwa na maendeleo kwa sasa ndoto na pia kama haja ni mshahara, hauna tofauti..
 
Kwani si maendeleo hayana chama(jpm)

Halafu ni bora wanyamazage tu, hakuna asiyejua kinachowapeleka ccm.
 
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Samanjiro kwa tiketi ya Chadema, James Ole Millya, ambaye sasa amehamia CCM ametaja sababu za kuhama chama hicho kuwa ni kwa naslahi ya wabanchi wake.

Amlisema Jimbo la mpinzani kufikiwa na maendeleo kwa sasa ndoto na pia kama haja ni mshahara, hauna tofauti..

Hawa jamaa anayesema haya anayoyasema baaada ya miaka 54 ya uhuru jimbo lake lilikuwa chino ya CCM. Nadhani amezoea porojo hivyo kukaa kimya kumemshinda.
 
Hata nchi zote duniani zikilala bila kufanya kazi yoyote kwa miaka 2000 ila sisi tupewe kibali cha kufanya kazi hatuwezi kuwazidi wale waliolala.

#Sisi ni sisi tu.
Duh hizi ni kauli za kashindwa ndugu. Una hakika miaka 2000 hatuwezi kuwapita au inaongea tu kuchamgamsha balaza?
 
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Samanjiro kwa tiketi ya Chadema, James Ole Millya, ambaye sasa amehamia CCM ametaja sababu za kuhama chama hicho kuwa ni kwa naslahi ya wabanchi wake.

Amlisema Jimbo la mpinzani kufikiwa na maendeleo kwa sasa ndoto na pia kama haja ni mshahara, hauna tofauti..
Alitakiwa afafanue,kwanini kwasasa ningumu kwa jimbo LA upinzani kupata maendeleo?Nini kinasababisha?Je suluhu nikuwafata ccm?
 
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Samanjiro kwa tiketi ya Chadema, James Ole Millya, ambaye sasa amehamia CCM ametaja sababu za kuhama chama hicho kuwa ni kwa naslahi ya wabanchi wake.

Amlisema Jimbo la mpinzani kufikiwa na maendeleo kwa sasa ndoto na pia kama haja ni mshahara, hauna tofauti..
Huna lolote mbona ulikuwa ccm ulitoka kwa maslahi ya nani?
 
IMG_3177.JPG
 
Hata ningekuwa mmi ningetoka tuu lazima mtu ajiongeze kutumia fursa iliyopo huko cdm ssa ni uvumilivu tuu wengi wanatamani kuhama ila ndo hivyo shy flani
 
Back
Top Bottom