Ole Medeye aukwaa unaibu katibu mkuu UDP!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Naona vyombo vya habari vinamtaja kama naibu katibu mkuu wa UDP leo hii mwenyekiti wa UDP alipoongea na vyombo vya habari.

UDP imemuomba Magufuli kuruhusu shughuli za kisiasa na kumtaka kuvifungia vyama vinavyofanya vurugu badala ya siasa.

Cheyo aliwalaumu wabunge waliosusa bunge na kuwafananisha na watoto wanaolilia pipi.
 
Juzi tu kajiunga na UDP na leo kawa naibu katibu mkuu wa chama

Haya maumivu ya kichwa huanza polepole

Attack from all fronts
 
Back
Top Bottom