Older Woman Younger Man Can it Work | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Older Woman Younger Man Can it Work

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PRECIOUSDOE, Aug 23, 2010.

 1. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF inawezekana mapenzi kati ya mwanamke aliyemzidi umri mwanaume kwa miak mitano kufaulu?Why or Why Not?
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Older women take good care of themselves, are more confident, are better lovers, and have life experiences that make them more interesting overall.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,996
  Trophy Points: 280
  DU.
  Sina la kuongea.
  Nasubiri niyaone.
   
 4. RR

  RR JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Umepata kaserengeti kako na unataka kuungwa mkono???
  Kwa muda mfupi inaweza kufanikiwa...ila kwa ile ya 'happily ever after' haitafanikiwa.
   
 5. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Unatakiwa kuyafahamu yafuatayo kabla ya kuamua hivyo;

  1. Muda wa kufurahia mapenzi ni tofauti: Mwanamke hufurahia hadi miaka 40's, wahile a man enjoys sex through his lifetime...! Sasa kama umemzidi miaka 5, then desire yako ikaishia umri wa miaka 45, (kwa mfano), utakuwa umemwacha mpweke kwa muda gani?
  2. Sex Experience: Mimi kama mwanaume, ningefurahia sana kuwa na wajibu wa kumfundisha mwenzangu mapenzi...! Sasa kama mmekutana ukiwa na uzoefu wa kila aina; mfano: wanaume 20+, miaka 10+, styles kadhaa, n.k, huku yeye (mwanaume) akiwa na uzoefu chini ya hapo, je position yake kwako utakuwa ni upi?
  3. Mtazamo wa jamii: Katika jamii zetu za kiafrika, particularly Tanzania, tumezoea kuwaona wanaooana mwanaume akiwa mkubwa kidogo kuliko mwanamke...! Je, wewe tutakutazama vipi?
  4. Psychological views: Mara nyingi, mwanamke huwapenda manaume wakubwa, wakati mwanaume huwapenda wanawake wadogo...! Kwako mbona ni kinyume?
  Lakini mapenzi hayana fomula....! "Always True Love Has No Reason, But it is Associated With Unlimited and Unconditional Forgiveness". Hivyo, ni ninyi, na kuta zenu nne tu...!
   
 6. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I have feelings for the guy he is very gudluking lakini yeye anapenda raha sana na mimi sasa nime settle down sina hamu na hayo.Nilijaribu kuficha na ku avoid lakini yeye amekuwa persistent sana.hata nikajaribu ile line ya nina mwona kama my baby bro n y cant he tek me as his BIG sis. Kisha nikajaribu kumweleza sitaki watu wanimistake for a sugar mammy.yeye akasema sugarmamy ni mtu over 10yrs older than the guy.Akaniuliza why I cant give him a chance and give us a chance n see how it goes.Nimejaribu sana kum put off lakini my friends nina mfeeel. Yaaaniiii amenibaaaaamba tuuu style!
   
 7. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #7
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wacha niwe honest : Sidhani am in love because we r so different frm one another.Kama usiku na mchana,lakini anasisimua hisia nyingi kwangu styms I feel motherly love wakati mwingine ninajiskia na yeye lakini tena ninaona hii ni child abuse.Infact napanga kumu avoid sana even tho ni mtu tunaishi town moja.I feel conflicted sababu sija wahi kuwa na mpenzi wa hata rika langu usually atleast 3yrs older.Sijui nifanyeje - kusema kweli amenimix
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Give yourself sometime don't force yourself to avoid him if you don't have any feelings for him tell him the truth other than avoiding him and if you feel that you have feelings towards him give it a time and see if it will work out if not then be honest to him and tell him the truth.
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Why getting mixed....!!!!??? and trying to avoid him while you feel him in other way...? If you are well experienced to have relations with men and then getting off, that should not be a problem to you...! To human being, this sexual theory do applies much:


  1. A man mostly do proud of having sex with a number of women, and then getting off...! And he proud to have this number persistently increasing, but later this become a normal issue to him and then less interested...!
  2. For women, this is more less different; they normally feel so pain and sometimes even disappointed to their lives when the first man to her gets off...! She normally keeps pains increasing as this number increases, but it will come a point where she become normal and treats her self as such. Some may get completely disappointed, and at this stage, they no longer care when a man come, having sex, and then leaving away...! She will not have time to judge or making selection on a man who is approaching her, whether in terms of seriousness, quality, community's interpretations, and the like...! they won't think of the man's availability in the tomorrow, rather, they do think tonight or today only...! they are no longer after love, but they are after either money or enjoyment or both at once...!
  But, because I am not well conscious about your stage out of those above, I lack a strong recommendation(s), but you may also ask yourself that "how many men did mix you till now?". Did/Will you accept all? Otherwise, Love has no a fixed formula to apply, whats matter is the presence of a "Double Coincidence of Love", and the seriousness of you all. The matter of childhood, depends much on the age of that man...! If he is at least 18year, then forget about it, because he is qualified to enter into a contract independently, otherwise your say may apply...!
   
 10. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #10
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii advice yako ndiyo imenipoteza zaidi:confused2:
   
 11. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Any way...! Do not get confused as such...! Just, go ahead...! If the following are true, then just accept him and give him what he wants from you...

  1. He is aged at least 18years
  2. You think that he is seriously in love with you
  3. You are really feeling him
  4. You have a space for him
  5. You hope that you will meet your expectations on him
  Again, if the above conditions are there, then you have rights to join him as well as you may. Otherwise, you may take time to rethink again...! Good Luck!
   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama ni suala la mapenzi hakuna shida. Nimeshawahi kumwona rafiki yangu ambaye alikuwa katika mahusiano na m'mke aliyemizidi miaka 9...

  Kwa suala la kuoa napendekeza w'wake waolewe na w'ume waliowazidi umri!:A S 8:
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mitano mbona michache sana ..mie namzidi wangu saba:confused2:
  Na imani kwa mtizamo na muonekanao wa ndoa yetu tunapendana sana........
  ndoa yetu ina miaka 8 najitahidi kufanya mazoezi ya viungo kula vizuri kulala vizuri sitaki kujizeesha mpaka sasa naoneka kijana na yeye kuonekana mzee ,..
  Hakuna mbaya Binti
   
 14. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama unamzidi 'mumeo' miaka 7, na ndoa yenu ina miaka 8 hiyo ni gepu la kiama 15...chukulia kwamba mtanzania wa kawaida huruhusiwa kufunga ndoa baada ya miaka 18+, kwahiyo 15 + 18 = 33, embu tuongeze muda kama umesoma angalau shahada ya kwanza kwa miaka mi 3, kutafuta kazi mkwaka 1, kudate na mzee miaka mi 2...hapo jumla ni 38.....hahahahahahaha....piga ua FL umri wako si chini ya miaka 35 (kama ulisemalo ni kweli)....sikupatii picha!:A S 8:
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  :A S thumbs_up: :tea:
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Pape mapenzi ya kweli ni kila kitu kama true love ipo ndani yenu hakuna zengwe tofauti zenu hazitakuwa zikionekana pendaneni hasa mkifata amri kuu ya upendo..
  Upendo hauhusudu
  Upendo hauchoki
  Upendo hauoni mabaya
  Upendo unasamehe .
  upendo.......:coffee:
   
 17. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Age only shouldnt be the issue...but if you dont have feelings for him then be honest with him...tell him the truth...
   
 18. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Maulieeeeedddd....jezi nambari 9...wa Kitengeeee....!!!! tusaidie hili tasavali
   
 19. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #19
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hisia za kimwili ndiyo naona zinanivutia kwake lakini tabia zake hazinipendezi - anapenda ulevi na sigara.Haonekani akiwa na direction ila ale raha tuu.I dont luk up to him or respect him the way a woman shud respect her man.Lakini anyo boyish charm and Im a firstborn anzivutia my mothering instincts. Hata ninaona haya kumkiss -wakati mmoja amenijaribu lakini nikakata because niliona yeye ni mtoto kwangu,lakini sometimes anabehave mature sana na anani seduce mpaka ninajiskia na yeye lakini sijawacha yapite hapo because naona sitaki kuji setup for stress.
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  Kumbe ndo hivyo tena think twice
   
Loading...