Hii ngoma acha kabisa. Yule mbwa aliyepiga lile gitaa ama kweli anajua kukuna nyuzi za gitaa. Hapa umenifanya niisikilize tena hii ngoma. Acha kabisa. Donell Jones akiingia studio anajua kutulia yule jamaa na sauti yake ya kumfanya demu amsamehe na kumrudia mwanaume aliyezaa na mdogo wake.Donel Jones This Love
Acha kabisa yaani hii ngoma kiboko.Donell Jones-shorty