Old Is Gold | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Old Is Gold

Discussion in 'Entertainment' started by X-PASTER, Nov 7, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  DDC Mlimani Park - Celina


  DDC Mlimani Park - Duniani Kuna Mambo  Orchestra Vijana Jazz - Maria


  Orchestra Vijana Jazz - Mama Wa Kambo


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Dr remmy with Orchestra Makassy - Mume Wangu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,564
  Likes Received: 415,719
  Trophy Points: 280
  Ufafanuzi zaidi..mmeniacha kwenye mataa..........................
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ufafanuzi gani, unao utaka ndugu!?
   
 5. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45


  Huelewi nini??? Hao ni vijana wa zamani kama mimi wakikumbuka enzi zile za miaka ya mwishoni 1980 na mwanzoni 1990. Wakti huo redio stesheni ilikuwa ni rtd (sasa tbc).Wakti nyimbo hizi zinatamba, rutashubanyuma ulikuwa hata mimba yako kutungwa bado ndo maana unaona ni kitu cha ajabu (NB: JOKES). Mie binafsi nkisikiliza nyimbo hizi wakti huu huwa nakumbuka maisha ya shule ya msingi.
  Kama kuna mdau ana nyimbo hizi; halima, bomu la simanzi, pendo na kisa cha mesenja zilizoimbwa na bima lee naomba aniwekee hapa. Na pia ule wimbo wa uhuru wa zimbabwe wa ddc naomba kama kuna mtu anao auweke.
   
Loading...