Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,701
- 6,658
This song aisee!
wakati naanza kuusikia huu wimbo redioni nilikua nahisi ni mzungu ndio kaimba ila nilivyokuja kujua ni african-american nilifurahi sana,
hawa blacks walikua vizuri zaidi kuliko wazungu ktk kuimba, kutunga na hata kucheza muziki.
Old is ever Gold.