BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
- Thread starter
- #401
Mood..!!
Kumbe jamaa ameirudia hii??noma sana aiseeHivi ile Thinking Out Loud kabla ya Ed Sheeran iliimbwa na nani?
Mhenga nakuonaa
hiyo nyimbo ata wale madj wazamani awajui nani kapiga hadi sasa mkuuWakuu kuna wimbo unaimba ""THIS IS,THIS THE SHAWDOWN THIS IS THE SHAWDOWN WE, YOU AND ME"" ni sauti ya mwanadada naomba kujua unaitwaje au mwenye nayo anisaidie plz plz plz nimeusaka mno bila mafanikio yoyt.
h
hiyo nyimbo ata wale madj wazamani awajui nani kapiga hadi sasa mkuu
Pw mkuu ila duu!! nimesikitika sn aisee.h
hiyo nyimbo ata wale madj wazamani awajui nani kapiga hadi sasa mkuu
Wakuu kuna wimbo unaimba ""THIS IS,THIS THE SHAWDOWN THIS IS THE SHAWDOWN WE, YOU AND ME"" ni sauti ya mwanadada naomba kujua unaitwaje au mwenye nayo anisaidie plz plz plz nimeusaka mno bila mafanikio yoyt.
ndo wenyewe aisee!!!. sijui nikulipe nini mkuu nimeusaka weee!! bila mafanikio barikiwa sn ndugu.4 the 1 time hata mim nimeusikia radio1 [mtaa wa mangoma] ukigongwa na legend mwenyewe dj jd sijui yuko wap huyu jamaa siku hz.Bila shaka wimbo huo ni "Showdown" wa Pulse featuring Adele Bertei.
Kwa mara ya kwanza niliusikia kwenye Mtaa wa Mangoma chini ya Legend John Dilinga Matlou (Dj JD). Shukrani kwake.
Huyu nimemsikiliza sana miaka ya 80 alikuwa anaitwa Warda al jazairiya asili yake ni AlgeriaWARDA ...Muimbaji mahiri wa Masri...Hakina Music za EYGPT zilikua ni band zenye kujua kupiga vinanda pia sauti music ni hatari....alikua na band ya wati 100..hamna electronics..ni manual equipment na umahiri wa team yake
ndo wenyewe aisee!!!. sijui nikulipe nini mkuu nimeusaka weee!! bila mafanikio barikiwa sn ndugu.4 the 1 time hata mim nimeusikia radio1 [mtaa wa mangoma] ukigongwa na legend mwenyewe dj jd sijui yuko wap huyu jamaa siku hz.
ooh!! kumbe shukran ndugu.Yupo na anagonga ngoma pale zamani palikuwa panaitwa Nyumbani Lounge nyuma ya Best Bite Namanga.
This song aisee!YouTube - James Ingram - Always (live)
Yeah! Muziki we acha tu BJ! Miye uko kwenye damu! Ukisikia hii in DA CLUB ni lazima unyanyuke!
hahaha huu wimbo kweli Madona aliutendea haki, alisanifu maana ya holiday haswaa...Hapa vipi???!!!!, na kipindi kama hiki cha sikukuu. I remember that i was std 3 0r 4 pale mpakani primary school, manzese