Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,606
- 20,347
Besala Bokungu alitoka Mazembe, akaenda Esperance ya Tunisia. Mkataba wake na klabu ya Tunisia ulisitishwa na chama cha soka cha nchi nyingine ya Jamhuri ya Congo,ambacho kiliidhinisha uhamisho wake kujiunga na klabu ya Virunga, klabu ambayo baadaye ilimuuza kwa Mazembe.
Okwi alitoka Simba, akaenda Etoile du Sahel ya Tunisia. Pamoja na kuruhusiwa na FIFA kuichezea Villa kwa muda wa miezi 6 tu wakati anatatua matatizo yake na Etoile, kimantiki mkataba wake na klabu ya Tunisia ulisitishwa na chama cha soka cha nchi nyingine ya Uganda, kwa kuidhinisha uhamisho wake kujiunga na klabu ya Villa na kisha klabu hiyo kumuuza kwa Yanga.
Sasa angalia jinsi Mazembe walivyonyang'anywa point kwa kumchezesha Bokungu:
Reigning African champions TP Mazembe of DR Congo have been disqualified from the Champions League.
The Confederation of African Football (Caf) took action after a complaint from Tanzanian side Simba about the eligibility of Janvier Besala Bokungu.
Mazembe beat Simba 6-3 on aggregate in the second round of the tournament.
Simba will play Morocco's Wydad Casablanca, who lost to Mazembe in the third round, for a place in the group stages of the tournament.
The one-off game will be played at a neutral venue next week.
Mazembe have won the Champions League for the last two years and reached the final of the Club World Cup last season, losing 3-0 to Italians Inter Milan in the final.
Bokungu, a 22-year-old Kinshasa-born defender, was transferred from Mazembe to Tunisian club Esperance in 2007 and rejoined the Congolese club this year.
Reports say he then broke a contract with the Tunis team that runs until June this year, but a Mazembe official insisted the Bokungu transfer was legal.