Okwi kuhamia Yanga - Mashabiki wa Simba ongezeni na akilizenu mauzo ya Tunisia

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Hata kama amuoni jamani
basi hata picha inayoendelea amwoni
kama simba aijamaliziwa deni iweje kaingia yanga na malipo kufanyika sc villa

haya mashabiki ongezeni akilizenu
kila l kheri
 
Iweje aruhusiwe kusalijiwa yanga na kupewa kibali na chama cha fufa
kazi kwenu sijui mtamdabina rage wenu loh
 
Ukweli unajulikana tangu mwanzo. Pesa ya Okwi ililipwa zamani tu na watu washakula. Ila kwa kuwa klabu ya Simba ina wanachama waliojaa mihemko, hucheza kwa tune za wanasiasa. Kina mzee wa Kinesi waliliona hili wakapanga mapinduzi, wakaonekana wasaliti. Mtamkoma rage na mirindimo ya kisomali, wacha kabisa.
 
Umepatia kweli, kwa sababu tafsiri ya Kiingereza ya neno hilo ndilo linalofaa hasa kuelezea hisia za Wanasimba kwa kiongozi wao mwenye jina hilo.
 
Back
Top Bottom