Okwi Awapungia Yanga kwa Ishaya ya 5-0

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000
 
Masuke

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
4,613
1,250
Namuona jamaa yangu wa kulia...
Kesho lazima alie tena, na atakuwa anasema pamoja na kuwa na Kaseja, Okwi, Ngasa, Niyonzima na wengine wengi lakini bado tumefungwa mbili bila, huu ni uzalendo kweli?
 
bujashi25

JF-Expert Member
Jun 17, 2013
623
225
Kesho lazima alie tena, na atakuwa anasema pamoja na kuwa na Kaseja, Okwi, Ngasa, Niyonzima na wengine wengi lakini bado tumefungwa mbili bila, huu ni uzalendo kweli?

Ndoto za alinacha hizo wew..enhee! Hembu tuambie hayo magoli mawili yatafungwa na akina nani..au yale magalasa yenu mwombeki na Tambe?
 
MFUKUZI

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
934
1,000
Kesho lazima alie tena, na atakuwa anasema pamoja na kuwa na Kaseja, Okwi, Ngasa, Niyonzima na wengine wengi lakini bado tumefungwa mbili bila, huu ni uzalendo kweli?

YANGA bwana akili zao kama za panzi!! Hivi wanategemea goli tano zitarudi kwa kuwachukua OKWI, Kaseja, Yondan na wengine??? Kushinda ni mipango na hapo ndo tofauti kubwa ya SIMBA na YANGA...Simba tuko makini na nashukuru bado tumesimama kwenye brand yetu ya mpira chini, pasi nyingi (SAMBA)....Okwi ni kama kajidhalilisha ni kama Mbwa.. Unamwogesha kwa maji safi then anaenda kugalagala kwenye matope... Nilitegemea kwa uwezo wa OKWI sasa hivi awe na tiketi ya ULAYA mkononi badala yake anarudi kwenye ligi ya mdonde...Shame on him...
 
majeshi 1981

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
2,093
1,500

Atawashikisha adabu kesho
 
Masuke

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
4,613
1,250
Ndoto za alinacha hizo wew..enhee! Hembu tuambie hayo magoli mawili yatafungwa na akina nani..au yale magalasa yenu mwombeki na Tambe?
Simba hakuna mwenye copyright ya kufunga, yeyote anayepata nafasi anatikisa nyavu, rejea zile goli tatu tulizosawzisha, mabeki wenu wote wawili wamemkaba Tambwe matokeo yake Mwombeki kapiga goli utafikiri penati maana hakuwa amekabwa kabisa, goli la pili kona inapigwa mabeki wote kwa Mwombeki eti kwa sababu alifunga la kwanza Owino akapiga free header utafikiri yuko sebuleni kwake na la tatu mabeki hadi golikipa hawakuona Kaze katokea wapi baada ya hapo kuanzia Manji, mashabiki, kocha na wachezaji wote wakatamani mpira uishe na kesho lazima Yondani na Canavaro watifuane kama siku ile, kama mnadhani Kaseja na Okwi ndo chachu ya ushindi mmeliwa, chezea damu changa ya wanamsimbazi.
 
mwacheni77

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
763
225
YANGA bwana akili zao kama za panzi!! Hivi wanategemea goli tano zitarudi kwa kuwachukua OKWI, Kaseja, Yondan na wengine??? Kushinda ni mipango na hapo ndo tofauti kubwa ya SIMBA na YANGA...Simba tuko makini na nashukuru bado tumesimama kwenye brand yetu ya mpira chini, pasi nyingi (SAMBA)....Okwi ni kama kajidhalilisha ni kama Mbwa.. Unamwogesha kwa maji safi then anaenda kugalagala kwenye matope... Nilitegemea kwa uwezo wa OKWI sasa hivi awe na tiketi ya ULAYA mkononi badala yake anarudi kwenye ligi ya mdonde...Shame on him...
Kiongoz umenena vema ndio maana afrika masharik hatuna hata wachezaji watano wanaocheza lig za maana ulaya simple cos ya sifa za kijinga Okwi kesho atawekwa mfukon tu tena na watt wadogo hato amin,Simba daima hubaki simba wametushindwa kutufunga ile mechi ya tatu bila mpaka halftime hawatatuweza tena mpaka jua lishuke,kesho waje watulizwe waanze kulialia tu kama watt.
 
Makoye Matale

JF-Expert Member
May 2, 2011
6,491

Unatukana mamba wakati hujavuka mto! Simba wenyewe kesho hawataleta timu uwanjani, Kisa? OKWI.
 
Makoye Matale

JF-Expert Member
May 2, 2011
6,491
1,500
Kwa nini Usitukane wakati mto una kivuko cha maana na daraja lililokuwa linajengwa limekamilika linasubiri kufunguliwa tu.

Baba Masuke nilifikiri una li ndege la kukuvusha mtoni kumbe ni kadaraja! Wahenga walisema 'O ndege atanyamagwa mongo' = Mwenye ndege hazuiliwi safari na mto. Kama ni kadaraja mmeliwa, katafunikwa na maji kisha mtakutana na makali ya mamba mnayemtukana sasa.
 
Last edited by a moderator:

Masuke

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
4,613
1,250
Baba Masuke nilifikiri una li ndege la kukuvusha mtoni kumbe ni kadaraja! Wahenga walisema 'O ndege atanyamagwa mongo' = Mwenye ndege hazuiliwi safari na mto. Kama ni kadaraja mmeliwa, katafunikwa na maji kisha mtakutana na makali ya mamba mnayemtukana sasa.

Ni daraja ambalo kwa kizungu linaitwa suspended bridge, si rahisi maji kufunika daraja la namna hiyo.
 
Makoye Matale

JF-Expert Member
May 2, 2011
6,491
1,500
Ni daraja ambalo kwa kizungu linaitwa suspended bridge, si rahisi maji kufunika daraja la namna hiyo.

Mkuu Masuke, kisaikolojia Simba hamko sawasawa kuanzia viongozi, wachezaji hadi mashabiki, kesho tushindwe wenyewe tu, Mapunda atajuta kurudi Bongo.
 
Last edited by a moderator:

Masuke

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
4,613
1,250
Mkuu Masuke, kisaikolojia Simba hamko sawasawa kuanzia viongozi, wachezaji hadi mashabiki, kesho tushindwe wenyewe tu, Mapunda atajuta kurudi Bongo.

Ni Rage tu ndo hayuko sawa kisaikolojia labda na mashabiki wachache wasiojitambua lakini asilimia kubwa tuko sawa kabisa ndo maana hata ukifuatilia mabandiko yetu humu yanaonyesha kwamba yanatolewa na watu ambao wana sober mind.
 
Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
13,113

Kesho asubuhi na mapema kakate tiketi.
 
PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,894
1,225
........mi nasubiri tu muda ufike nione kwa jinsi Jezi za rangi ya Njano na Kijani zitakavyokuwa zinasondekwa kwenye mifuko ya rambo na zingine kutupwa ovyo kwenye mitalo mara baada ya kile kinachotarajiwa na wapenzi wote wa Yanga kutokea kesho kitakapo shindikana.
Simba haibabaiki ipo KIKAZI ZAIDI.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom