Oktoba FIFA ranking kwa nchi za wachezaji wa Simba na Yanga

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa.

Kwa mfano Taifa kama Malawi hata Gadiel angekuwepo angeitwa karibuni wachangiaji.

Taifa
Nafasi Africa​
Nafasi Duniani​
Mchezaji​
Timu Taifa​
49​
7​
Ghana
7​
48​
Benard Morison​
Hajaitwa​
57​
9​
Mali
9​
56​
Diarra​
Ameitwa​
58​
10​
Côte d'Ivoire
10​
61​
Pascal Wawa​
Hajaitwa​
60​
11​
Burkina Faso
11​
58​
Yakuba Soigne​
Hajaitwa​
61​
12​
Congo DR
12​
59​
Baka, Moloko, mukoko, bangala, Mugalu, Mayele,Makambo,Djuma Shabani​
Baka ameitwa, Mukoko aliitwa zamani​
84​
17​
Uganda
17​
76​
Khalid Aucho, Lwanga​
Wameitwa​
87​
18​
Zambia
18​
89​
Larry Bwalya​
Ameitwa​
102​
23​
Kenya
23​
103​
Onyango​
Ameitwa​
115​
29​
Malawi
29​
123​
Banda, Nyoni​
Wameitwa​
129​
35​
Rwanda
35​
133​
kagere​
Ameitwa​
137​
39​
Tanzania
39​
134​
 
Unacopy na kupaste kutoka Instagram unataka tujadili nini sasa? Au hukuridhika na mjadala uliko copy
nimekopi instagram page ya nani? hizi data nimetoa kwenye website ya FIFA, na sababu hasa ya kuleta mjadala huu ni upotoshaji mnaounaofanya huko instagram
 
Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa.

Kwa mfano Taifa kama Malawi hata Gadiel angekuwepo angeitwa karibuni wachangiaji.

Taifa
Nafasi Africa​
Nafasi Duniani​
Mchezaji​
Timu Taifa​
49​
7​
Ghana
7​
48​
Benard Morison​
Hajaitwa​
57​
9​
Mali
9​
56​
Diarra​
Ameitwa​
58​
10​
Côte d'Ivoire
10​
61​
Pascal Wawa​
Hajaitwa​
60​
11​
Burkina Faso
11​
58​
Yakuba Soigne​
Hajaitwa​
61​
12​
Congo DR
12​
59​
Baka, Moloko, mukoko, bangala, Mugalu, Mayele,Makambo,Djuma Shabani​
Baka ameitwa, Mukoko aliitwa zamani​
84​
17​
Uganda
17​
76​
Khalid Aucho, Lwanga​
Wameitwa​
87​
18​
Zambia
18​
89​
Larry Bwalya​
Ameitwa​
102​
23​
Kenya
23​
103​
Onyango​
Ameitwa​
115​
29​
Malawi
29​
123​
Banda, Nyoni​
Wameitwa​
129​
35​
Rwanda
35​
133​
kagere​
Ameitwa​
137​
39​
Tanzania
39​
134​
Nimeamini ule msemo kuwa hata saa mbovu kuna wakati inapatia majira, Msukule wa GSM uliwahi kusema kuwa huko Utopolo ukiomuondoa Sunday Manara na Mzee Kikwete wote waliobakia hawana akili timamu.
 
nimekopi instagram page ya nani? hizi data nimetoa kwenye website ya FIFA, na sababu hasa ya kuleta mjadala huu ni upotoshaji mnaounaofanya huko instagram

Wacha uongo wako,umecopy na kupaste toka kwa Page ya Privadihno,huu mjadara kauweka tangu jana.Ukiwa unaleta hapa mada uwe unajua kuna watu wanatumia akili zao pia kufikiria.Unatubandikia tujadili wewe mwenyewe ni hoja gani umeweka hapa tuzijdalili zaidi ya kutuwekea msululu wa Nchi peke yake.Leta hoja sasa ulitaka tujadili nini?
 
Nimeamini ule msemo kuwa hata saa mbovu kuna wakati inapatia majira, Msukule wa GSM uliwahi kusema kuwa huko Utopolo ukiomuondoa Sunday Manara na Mzee Kikwete wote waliobakia hawana akili timamu.

Mwenyewe kajitutumua kutubandikia hapa.Hawa ndiyo Utopolo na akili zao wanazijua wenyewe
 
Wacha uongo wako,umecopy na kupaste toka kwa Page ya Privadihno,huu mjadara kauweka tangu jana.Ukiwa unaleta hapa mada uwe unajua kuna watu wanatumia akili zao pia kufikiria.Unatubandikia tujadili wewe mwenyewe ni hoja gani umeweka hapa tuzijdalili zaidi ya kutuwekea msululu wa Nchi peke yake.Leta hoja sasa ulitaka tujadili nini?
kaangalie vizuri hilo jedwali halijawahi kupostiwa popote, privadihno ametumia CAF RANKING mimi nimeweka FIFA RANKING na kimsingi yeye anajichanganya hata wewe nadhani kinachokukera ni kwamba utakuwa KOLO na uumeona wachazaji wako waliotoka kwenye nchi za kindezi ndezi ndo wameitwa lakini watu kama WAWA hawajitwa kutokana na nchi yao kuwa juu
 
Umesema Inonga kaitwa? Mbona sijamuona katika orodha iliyotangazwa na kocha wao Cuper..?

Kama kongo ni kinara wa mpira na kuna wachezaji bora, ilikuwaje lundo lote lile la wachezaji mliosajili kukakosekana hata mchezaji mmoja ambaye ame qualify kucheza national team?

Sisi tulitegemea kwasababu kongo ipo juu kimpira basi nyinyi yanga ambao mna wachezaji wengi kutoka huko mngepeleka wachezaji wenu wengi sana, lakini haijawa hivyo, kwanini?
 
kwa hiyo tumekubaliana simba ndo ina mchezaji wa kiwango cha juu Tanzania bm3
Ina wachezaji wengi wanao toka katika mataifa yasiyo na ushindani wa namba mkubwa katika timu ya taifa. Takribani wachezaji 6.

Yanga ina wachezaji wawili tu Saido & Aucho wanaotokea katika mataifa yenye ushindani hafifu kwenye timu za Taifa.
 
Kama kongo ni kinara wa mpira na kuna wachezaji bora, ilikuwaje lundo lote lile la wachezaji mliosajili kukakosekana hata mchezaji mmoja ambaye ame qualify kucheza national team?

Sisi tulitegemea kwasababu kongo ipo juu kimpira basi nyinyi yanga ambao mna wachezaji wengi kutoka huko mngepeleka wachezaji wenu wengi sana, lakini haijawa hivyo, kwanini?
Iko Juu Kimpira kwa sababu ya Kiashiria cha kwanza:- Kila nafasi ndani ya first eleven ina wachezaji wasio pungua 2 wanao cheza Ulaya.

Je Malawa, Zambia, Rwanda, Kenya & Uganda kuna ushindani wa namna hiyo?
 
Hiyo tu, mbona sisi tuna fraga wa brazil ambaye rank ya nchi yake ni kubwa kuliko kongo?
 
Kama kongo ni kinara wa mpira na kuna wachezaji bora, ilikuwaje lundo lote lile la wachezaji mliosajili kukakosekana hata mchezaji mmoja ambaye ame qualify kucheza national team?

Sisi tulitegemea kwasababu kongo ipo juu kimpira basi nyinyi yanga ambao mna wachezaji wengi kutoka huko mngepeleka wachezaji wenu wengi sana, lakini haijawa hivyo, kwanini?
Wale wacheza ndombolo walinunuliwa kwa mafungu kama nyanya masalo
 
Back
Top Bottom