Oksana akiwa hospitali baada ya kukatwa miguu yake na mkono wake wa kulia baada ya kuchomwa moto b | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oksana akiwa hospitali baada ya kukatwa miguu yake na mkono wake wa kulia baada ya kuchomwa moto b

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 24, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,612
  Likes Received: 4,603
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Oksana akiwa hospitali baada ya kukatwa miguu yake na mkono wake wa kulia baada ya kuchomwa moto baada a kubakwa[/TD]
  [TD]Thursday, March 22, 2012 4:01 AM
  Mwanamke mwenye umri wa miaka 18 wa nchini Ukraine yuko mahututi hospitali baada ya kubakwa mtungo na wanaume watatu na kisha kuchomwa moto uliopelekea akatwe miguu yake yote miwili na mkono wake mmoja.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Oksana Makar, 18, alikuwa ni mrembo mwenye umbile na sura ya kuvutia lakini ghafla maisha yake yamegeuka juu chini baada ya kubakwa na wanaume watatu ambapo wanaume wawili kati yao ni watoto wa vigogo wa serikali nchini Ukraine.

  Mbali ya kubakwa, Oksana alivalishwa matambara na kutelekezwa porini na kuchomwa moto ili afariki.

  Lakini nusura yake ilitokea kwa mmoja wa wapita njia aliyesikia kelele zake za kuomba msaada na kwenda kumuokoa.

  Kutokana na moto kumuunguza vibaya Oksana, madaktari wamelazimika kuikata miguu yake yote miwili na mkono wake wa kulia.

  Katika VIDEO iliyorekodiwa na mama yake na baadae kurushwa kwenye mitandao, Oksana anasema kuwa wanaume waliomfanyia kitendo hicho wakikamatwa basi wakatwe makende yao na makende hayo wapewe mbwa wale.

  Oksana alibakwa baada ya wiki iliyopita kualikwa kwenye mojawapo ya nyumba waliyokuwa wakiishi wabakaji hao. Watuhumiwa wa ubakaji ni pamoja na Maxim Prisyjnikov, 23, mtoto wa mkuu wa mkoa na Artyon Pogosyan, 21, mtoto wa mwanasheria wa mkoa.

  Wabakaji hao walikamatwa na kuachiwa huru siku hiyo polisi wakisema kuwa hakuna ushahidi wa kutosha.

  Kuwekwa kwa VIDEO online kumepelekea wananchi wengi waandamane wakitaka haki itendeke.

  Hatimaye rais wa Ukraine aliamuru uchunguzi wa kina ufanyike na ndipo wabakaji hao watatu walipotiwa mbaroni na kufunguliwa mashtaka ya kujaribu kuua.

  Angalia VIDEO ya Oksana akitaabika kwenye kitanda cha hospitali ambako anatibiwa majeraha yake ya kuungua moto  VIDEO - Mwanamke Abakwa na Wanaume Watatu na Kisha Kuchomwa Moto[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole sana lil gal blonde kwa kile walicho kufanyia..
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  So sad........Aisee hii ni mbaya sana!
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hivi malaya hakuna mpaka mtu ukabake?
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,612
  Likes Received: 4,603
  Trophy Points: 280
  Nchi zingine kupata mwanamke inakuwa Big deal unafikiri kama hapo kwenu bongo wanawake wa kumwaga!!!!!!!!! Uarabuni au baadhi za nchi kama za vishoka Ukraine kupata mwanamke ufanye kazi kutongoza ama sivyo utakosa tu.
   
Loading...