Lemaemmanuel
Member
- Jan 30, 2020
- 18
- 28
Kiswahili kizuri unaitwa mchunga ila sisi watu wa Iringa tunaita "Mkalifya " nyie kwenu mnaitaje?
Na ule uchungu uchungu ndio utamu wake! Kama huli anza kula maana ni dawa mwilini, mchunga husawazisha shinikizo la damu(BP) kuzuia hatari ya kifo na hata kuzimia #okoamimeayaasili.