UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Sawa. Ki teknolojia tumenyooshwa. Ila hata kukimbia jamani? I mean riadha.
Hata kusaka kabumbu? Kwamba Messi anasubiri?
Tatizo kubwa lipo hapa. Human Capital. Hatuna mtaji watu. Nchi kama nchi haiwekezi kwa watu wake.
Leo 255 champion boy muite mbwana samatta yupo Genk lakini siamini kama nchi iliwekeza kwake. Kaibuka tu kwa bahati bahati. No any strategies behind his career kutoka kwa nchi kama nchi. Labda kutoka kwa mama, baba, anko na ma anti tu.
Nchi hii inatelekeza talents nyingi sana kutokana na kukosekana mipango thabiti ya uwekezaji katika watu wake. Tuna talents mazee japo tuna mapungufu yetu lkn talents zipo hata wazungu hawaoni ndani.
Tatizo moja kubwa ni kwamba viongozi wetu wanaangalia sana tumbo. Tumbo kwanza mengine baadaye. Na ndo maana sisi ni wabishi kwa asili. Hatukubali jambo linaloenda against na maslahi ya tumbo letu. Hahahahahhaha.
Well, sio vibaya kuangalia tumbo. Ila I think its too much hadi talents za nchi zinapotezwa. Jamani tuwekezeni katika watu wetu. How? kamuulizeni JK Nyerere kwanini aliwafundisha bure akina JPM na JK. Alikuwa anafanya uwekezaji. Anawaandaa for future leadership.
Naomba kuwasilisha.