Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,836
- 1,164
Wakuu huyu ni mmoja wa wanamichezo ambao kesi zao zilivuta hisia za watu wengi sana. Nakumbuka wakati kesi yake inafunguliwa nilikuwa Form 3 na sikuweza kufuatilia na kuelewa zaidi ya hapo. Kuna yeyote anayeweza kurusha mwanga juu ya kilichokuwa nyuma ya kesi yake ya kumuua mtalaka wake ambayo inasemwa sana kuwa ilikuwa ya uzushi? Naomba msaada kwasababu ni muhimu sana.