OJ arejea Bongo

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
23
Yule celebrite aliyekuwa mtangazaji wa Redio Clouds Othman Njaidi amerejea bongo baada ya kukaa jela huko marekani kwa muda mrefu, karibu bongo mwendo mdundo,unaona ilivyobadilika
 
Yule celebrite aliyekuwa mtangazaji wa Redio Clouds Othman Njaidi amerejea bongo baada ya kukaa jela huko marekani kwa muda mrefu, karibu bongo mwendo mdundo,unaona ilivyobadilika
....so what. haituhusu sie, tupo bize na matokeo ya Uchaguzi. Peoples Power
 
....so what. haituhusu sie, tupo bize na matokeo ya Uchaguzi. Peoples Power

inaweza isikuhusu wewe wengine ikawahusu suala la uchaguzi lina jukwaa lake.....OJ ni miongoni mwa wakali wa kitambo ambao umaarufu wao haukuletwa na magazeti ya udaku.....mwanzisha topic kama vipi dondosha picha data zingine kama unazo!
 
Yule celebrite aliyekuwa mtangazaji wa Redio Clouds Othman Njaidi amerejea bongo baada ya kukaa jela huko marekani kwa muda mrefu, karibu bongo mwendo mdundo,unaona ilivyobadilika
Weka picha yake.........!
 
Yule celebrite aliyekuwa mtangazaji wa Redio Clouds Othman Njaidi amerejea bongo baada ya kukaa jela huko marekani kwa muda mrefu, karibu bongo mwendo mdundo,unaona ilivyobadilika
Mtu mwizi wa nini,wacha aishie mbele ya safari,asije akasambaza uovu wake hapa kwenye vi ATM vyetu mitumba
 
Samahani wadau, nauliza mnaomfahamu huyu, kuna mtu aliyefariki siku za karibuni, alifia nje ya nchi, somebody Njaidi ni ndugu yake au...............
 
HP, Excel employees accused of shipping stolen parts

23 May 2006 (UMST)

Nine Hewlett-Packard and Excel Logistics employees are accused in a conspiracy that federal prosecutors say amassed $3.2 million by shipping stolen parts to other states.

United States Attorney Don DeGabrielle announced today that the nine charged are

  1. Njaidi Othman Njaidi, 35, of Houston;
  2. Franklin Lauwo, 35, formerly of Houston;
  3. Wasia Kessi Maya, 28, formerly of Houston;
  4. Abby Hussein Omari, 24, of Houston;
  5. Misso Canute Temu, 30, of Houston;
  6. Ahmed Juma Khalid, 30, of Houston;
  7. James Mtae, 27, of Houston;
  8. Frederick Omondi, 31, of Houston;
  9. Jamese Hill, 25, of Houston.

The indictment, returned by a Houston grand jury under seal on May 16, 2006, was unsealed on Friday, May 19, 2006. Njaidi, Khalid, Mtae, Omondi, and Hill are alleged to be current or former employees of HP or Exel.

On May 18 and 19, law enforcement personnel from the Federal Bureau of Investigation (FBI), Houston Police Department, and the Harris County Sheriff's Department arrested Njaidi, Maya, Omari, Khalid, Omondi, and Hill.

With the exception of Hill, who has released on bond

following her initial appearance in court on Friday, all others arrested have been ordered to remain in federal custody without bond pending a detention hearing scheduled for Wednesday, May 24, 2006, at 10:00 a.m. before United States Magistrate Judge Mary Milloy.

Arrest warrants remain outstanding on Lauwo, Temu, and Mtae. It is believed that Lauwo and Temu may have returned to Tanzania. Mtae is believed to be in the Houston or Dallas area.

According to allegations in the indictment, Njaidi and Lauwo recruited individuals working at HP or Exel to steal processors, hard drives, memory strips, and other items. Njaidi and Lauwo, along with Maya, Temu and Omari, allegedly paid sums ranging from $20,000 to in

excess of $100,000 to Hill, Omandi, Mtae, Khalid and other HP or Exel employees who provided them with stolen products. It is further alleged that the next step of the scheme involved employees Omondi, Khalid, Hill, Mtae and others changing the shipping labels on outgoing shipments from HP and Exel, redirecting the shipments from customers to Njaidi, Omandi and other members of the conspiracy. Another part of the scheme involved charged employee defendants and others removing the processors from their packaging at the computer

company facility, secreted the stolen goods in their shoes or clothing, and leaving the premises with the stolen goods.

According to the transactions alleged in the indictment, Njaidi, Lauwo, Maya, Omari, Temu and Khalid sold more than $2.9 million of the stolen products to purchasers

in Minnesota, California, and other states.

All nine defendants are charged with conspiring to transfer stolen products in interstate commerce, a crime that carries a punishment of up to five years in prison and a fine of up to $250,000 upon conviction. Njaidi, Lauwo, and Maya are also charged in two separate counts, and Temu with one count, of transferring stolen products in interstate commerce, a crime that carries a punishment of up to ten years in prison and a fine of up to $250,000 upon conviction.

The indictment also seeks a forfeiture judgment from all the defendants of approximately $3.25 million, alleging this sum constitutes the proceeds of their alleged illegal conspiratorial conduct.

The case was investigated by the FBI and the Houston Police Department's Major Offenders Division, Cargo Theft and Fence Detail, and will be prosecuted by Assistant United States Attorney Gregg Costa.

Source: mbongo.com
 
Yule celebrite aliyekuwa mtangazaji wa Redio Clouds Othman Njaidi amerejea bongo baada ya kukaa jela huko marekani kwa muda mrefu, karibu bongo mwendo mdundo,unaona ilivyobadilika

acha zako wewe halafu unajulikana ulivo na mambo yako haviendani.are you a saint?na sikatoka jela kalipia makosa yake wewe nini kinakusumbua?hiviwatanzania wa nje ya nchi wana matatizo gani na majungu?fuateni kilichowatoa nchini mwenu
 
Yule celebrite aliyekuwa mtangazaji wa Redio Clouds Othman Njaidi amerejea bongo baada ya kukaa jela huko marekani kwa muda mrefu, karibu bongo mwendo mdundo,unaona ilivyobadilika

Tunamkaribisha kwa moyo mkunjufu...kama Bw. Vijisenti Takukuru imemsafisha basi nami ninakusafisha...........
 
Mtu mwizi wa nini,wacha aishie mbele ya safari,asije akasambaza uovu wake hapa kwenye vi ATM vyetu mitumba

unamaanisha OJ alikuwa mwiz wa kwenye ATM?
alikuwa na urafiki na wanaijeria?
habar zake sizan km zna tija sana
BT KUNA SMBODY OJ NILISIKIA KAFA TENA NLISIKIA KWA KIBONDE NA GADNA IN JAHAZ...AU?
Hainiusu anyways ni umbea tu unansumbua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom