Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,621
- 20,955
Hakuna ugunduzi wa mafuta ama gas unaofanywa bila kuchimba. Gravity ama seismic survey hufanywa kujua kama kuna ishara ya uwepo wa masalio yenye mafuta ama gas. Katika hatua hii huwa ni ngumu kujua kama ni mafuta ama gas mpaka kufanyike drilling. Ninanvyojua Tanzania ni maeneo ya Pwani na baharini ndo yaliyokwisha kutafitiwa kwa njia ya kuchimba...Same hawajachimba ingawaje kutakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na mafuta rift valey kulikoni eneo lolote kwa ukanda wetu wa East Africa