Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
- Thread starter
- #41
Sasa hivi watasema ziwa Tanganyika lote ni la Congo!
Hapa itabidi tuungane na Congo (DRC) maana naona kunaweza kuzuka mgogoro wa mpaka. Ripoti yenyewe imesema kuwa mafuta mengi zaidi yako upande wa Congo.