Oil and gas for deletion from list of Union affairs, "Heko kwa wazanzibari" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oil and gas for deletion from list of Union affairs, "Heko kwa wazanzibari"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mdondoaji, Jun 17, 2010.

 1. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Oil and gas will be removed officially from the list of union matters after the amendment of the United Republic of Tanzania's Constitution, the Zanzibar's House of Representatives heard yesterday.

  The clarification was made by the Isles' Minister of State in the President's Office (Constitution and Good Governance), Ramadhan Abdalla Shaban.

  "We are currently waiting for the Union government to present proposals to amend the country's Constitution in the Parliament," said Shaban when giving a clarification on the matter on behalf of the Minister of State in the Chief Minister's Office, Hamza Hassan Juma.

  He stated that once the union constitution had been amended, the government of Zanzibar would remove oil and gas from the list of union matters right away.

  Shaban told the House that, the government of Zanzibar had already worked on all the necessary procedures aimed at removing the matters from the list, adding that the idea was "making the two potential resources remain in the hands of the Zanzibar government."

  The deletion of oil and natural gas from the list of union matters, according to the minister, had already got the blessings of the Isles President and the House of Representatives.

  The argument on oil and gas, as union matters was first brought to attention by the Zanzibar Minister of Water, Works, Energy and Land, Mansour Yussuf Himid, on grounds that the two resources exploited on the mainland do not benefit Zanzibar.

  Apart from oil and gas, other union matters are; cooperation of Zanzibar and international organizations and agencies, Isles participation in the East African Community (EAC), employment of Zanzibaris in the Union government and distribution of income-benefits resulting from debt cancellation by development partners.

  Others are; distribution of profit from the Bank of Tanzania, Zanzibar's access to loans from financial institutions, double taxation for Zanzibar-business people and implementation of human right Act in Zanzibar.

  However, the minister said, some of the issues had already been resolved. Already, he said, Zanzibar benefited from loans offered by the International Monetary Fund and incomes coming from external debts cancellation by donors.

  SOURCE: THE GUARDIAN

  My: Opinion ni kwamba at least wenzetu wametustukizia kuwa blah blah zimekuwa nyingi Tanzania Bara. Hongereni wazanzibari kwa kutetea maslahi yenu
   
 2. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  HUU ndio Muungano unaofaa! Tusijidanganye kuwa bila uhuru wa kiuchumi kwa kila upande tutakuwa na Muungano wa kweli. Mtu unapotaka kugawa kitu basi iwe kwa hiyari yako mwenyewe na sio vyenginevyo!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Iwekwe wazi kabisa hapo kuwa ..NISHATI (pamoja na UMEME)itaondolewa kwenye Muungano, ili watu wakale JEURI YAO na ubishi wao !
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kaka umeme wanaweza kununua na sie tukanunua mafuta kutoka kwao. It is a mutual agrement sio ujeuri ila binafsi walilofanya ni sawa sawa kabisa kwani sisi dhahabu (Tanzania nchi ya tatu Africa kwa exportation ya gold) hatunufaiki nayo. Tanzania ni moja ya nchi tano duniani zenye reserve kubwa ya uranium but hatufaidiki nayo. Sasa wacha na wao wafanye wanavyotaka kwa maslahi yao na sio ujeuri maana sie hadi tuje kustuka nchi ishaisha rasilimali yamebakia mashimo matupu.
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Jun 17, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Nilifikiri BLW walishatoa suala la mafuta kwenye orodha kumbe wanasubiri baraka za Bunge?
   
 6. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mafuta yapo TZ lakini yapo kidogo hapo karibu na Zanzibar lakini mafuta mengi yako Mtwara na Lindi. Ukiona kampuni za uchimbaji zinauza visima kwa kampuni kubwa ina maana mafuta yapo na imetokea sehemu moja tu Mtwara ambako kampuni imeuza kwa Exxon. Hakuna kampuni ya nje itakayo kubali kuingia mkataba na Zanzibar kwasababu Zanzibar ni weak sana na haitaweka kuhakiki usalama wa Investment zao kwani Investment ni kubwa kuliko uchumi wa nchi. Zanzibar vilevile siyo nchi ni sehemu yenye utawala binafsi lakini kimataifa hakuna nchi ya Zanzibar na haitakuwepo nchi ya Zanzibar. Zanzibar ni Nchi kwetu sisi Watanzania lakini ukitoka nje Zanzibar si nchi na hakuna hata nchi moja inayo support Zanzibar iwe Nchi. Comocos ni mfano mzuri wanaomba wawe na muungano na Tanzania na Tanzania ndiyo inawalinda Wamorocos nao. Wanzanzibar ni sawa hawataweza kukaa Wapemba na Waunguja bila migogoro na hii ni kiini macho tu mikataba ya uchimbaji imeshaingiwa sasa na hao wachimbaji hawatakubali kujadili mikataba upya na Bara hawawezi kuruhusu hilo
   
 7. doup

  doup JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  hivi ni mambo yapi ni ya muugano na si yamuunguno hasa mbara na mzanzubar hawaruhusiwi/wanaruhusiwa kufanya wawapo upande mwingine?
   
Loading...