Oi jombiii msaada wakubwa kwa tulioapply diploma huwa kuna uwezekano wa kutemwa

Oi oi Home boy ni viplo asee jombalai..ni OG Dingii??Aiko kwerekweche Ariff?...Okay Kama una GPA iyo ambayo umenishinda hata mimi Chaliangu ni kisanganga kutemwa asee!!
 
Kusema lafudhi ya kiarusha imemumuathiri ni kutudanganya. Arusha hakuna neno JOMBII, kuna Jombaa na ndio maana watu wanashangaa hii lugha kwakuwa hii ni aina ya uandishi wa watoto wanaojiunga na kidato cha kwanza na sio mwanachuo. Jitahidi kabla hujapost kitu uangalie na aina ya watu unaotaka kupeleka ujumbe ni watu wa aina gani. Hata ingekuwa lugha mama imekuathiri mtoa mada, kuna maneno huwezi kuyatamka mbele za watu wanaokuzidi umri/maarifa tena ukiwa unahitaji msaada.
KUNA WAKATI UNAWEZA KUKOSA MSAADA KWA KULETA MBWEMBWE KAKA HIZI
 
Unazid kuonesha ushamba wako arusha Amna washamba Kama wew unatuabisha
Oi kiongozi hizo dharau sasa mbaba matusi hayo au umejiskia kuandika tu skia kama shida ni caption ya kwa juu hapo hiyo imeteleza kiongozi Arusha imetuathiri hiyo lafudhi so sio unaandika tu mbaba tunaelekezana kiongozi
 

Magufuli ana kazi kubwa sanaa, kama vijana ambalo ndio taifa la kesho tena wasomi ndio hawa
 
Back
Top Bottom