kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 5,999
- 9,089
Anahisi fb kwa watoto wenzake
Sio kesi kiongozi ila tuelekezane tuDogo akikua na akikumbuka huu utoto atajicheka mwenyewe.
Sikupingi kiongoziutoto raha sanaaa
Dah nimekusoma hapo kiongozi wangu ila nitaka kufahamu tu hali ikoje coz kuna jau sana ya wanafunzi sasa nilikuwa sielewiFactors zinazoangaliwa sio gpa tu so kutemwa kupo sana tu
Hamna kiongozi hiyo imeteleza tu nilitaka niweke profile pic lkn nikajikuta nimepost hiyo kituUmeamua utuwekee na passport kabisakijana
Wewe Pambana na usharobaro masuala ya chuo tuachie sie washamba. Ukin’ang’ania utapata sifuri tu
Oi Jombi
mzaz vp?Huna adabu kabisa binti
Cha muhimu ni kuhakikisha sifa zote ziliOainishwa unazo ikiwezekana na za ziada, yaliyobakia ni kazi ya admission officers na majaliwa ya Mungu basiDah nimekusoma hapo kiongozi wangu ila nitaka kufahamu tu hali ikoje coz kuna jau sana ya wanafunzi sasa nilikuwa sielewi
"Oi Jombiii "
Kizazi cha .com hichi mtihani mtupu, hajui anazungumza na watu wazima wala wale wahuni barabarani
Nawapa pole wazazi