Oi jombiii msaada wakubwa kwa tulioapply diploma huwa kuna uwezekano wa kutemwa

Dah nimekusoma hapo kiongozi wangu ila nitaka kufahamu tu hali ikoje coz kuna jau sana ya wanafunzi sasa nilikuwa sielewi
Cha muhimu ni kuhakikisha sifa zote ziliOainishwa unazo ikiwezekana na za ziada, yaliyobakia ni kazi ya admission officers na majaliwa ya Mungu basi
Na kuwa tayari kwa jibu lolote sio unajihakikishia nafasi kiasi kwamba unakosa option
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom