Oi jombiii msaada wakubwa kwa tulioapply diploma huwa kuna uwezekano wa kutemwa

Sep 5, 2019
18
45
Nimetokea kitm college ,ngazi ya cheti sasa nimeapply chuo kingine kusoma diploma ambacho ni NIT so nataka kujua uwezekano huwa upo wa kuingia coz na G.P.A ya 3.9
borntown.jpeg
 

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
788
500
Diploma huwa ni wale waliopata angalau B grade katika gpa sinahuhakika sana ila nafikitiri ni kuanzia 3gpa kwa university ila collage nyingine huwa china ya hapo.
 
Sep 5, 2019
18
45
Ulivyo mlaini hivyo ukijumlisha na matope yaliyoko sentimeta moja na nusu kuelekea ndani toka usawa wa nje wa fuvu lako la kichwa, ninaamini utaenda kuolewa wewe!
Oi kiongozi hizo dharau sasa mbaba matusi hayo au umejiskia kuandika tu skia kama shida ni caption ya kwa juu hapo hiyo imeteleza kiongozi Arusha imetuathiri hiyo lafudhi so sio unaandika tu mbaba tunaelekezana kiongozi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom