Ohio driving license found in dar! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ohio driving license found in dar!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Wambandwa, Oct 12, 2010.

 1. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Hi Guys Up There in Ohio,

  Yesterday evening I bought a used lady's pulse for my wife; tro my astonishment I found an Ohio Driver's License issued to:

  KELSEY M DEMANGE
  8714 CAMBRIDGE DR
  VERSAILLES, OH 45380

  This license expires on 14/04/2010
   
 2. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Here's is a license (attachment)

   

  Attached Files:

 3. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kama inawezekana mpostie naona bado iko valid ina expire 14/03/2012.
  Si unajua tena mambo ya mitumba :tonguez:
   
 4. M

  Myamba Senior Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Namsapoti Kiraka kuwa ni vyema ukaiposti hiyo license to the owner at Ohio kwani it is still valid, and owner will thank you very much.
   
 5. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  If she has special arrangements with any courier company (FedExpress, TNT etc) I'm oblidged to deliver!
   
 6. l

  lily JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa wewe unamnunulia wife second hand bwana ha!:hand:
   
 7. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  She insisted on having it.. ila ni nzuri kuliko hizo mnazoleta kutoka China.
   
 8. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Maelewano yao, wewe yanakuuma nini!!!
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  May be uipeleke polisi,they will know what to do.Unaweza kujikuta kwenye shida ambazo hazikuhusu,maybe ni mtu anayetafutwa,may be she put it there in purpose etc
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Na asijikaushe hapa.Au vya kununuliwa na mume ndo inabidi kumchuna,manake hata fungus za mtumba nazo zinalipa kuliko za kichina..
   
 11. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Ipeleke hapo American Embassy watamtafuta!.
   
 12. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hili la kuipeleka leseni hiyo American Embassy. Usiipeleke kabisa polisi wa hapa kwetu itapotea, hakuna umakini wowote maana haina tija kwao (si unajua ili ushughulike issue yako ni lazima utoe kidogo kidogo?). Kule embassy watampatia tena very soon, wakitoa tu taarifa wakipitia data base wanamtafuta mhusika haraka sana.

  Pia second hand bags are better than any kind of bags sold in Tanzania. Kule mitumbani kuna designer bags ambazo hapa hazipo, ziliozopo ni feki tuu!! Asikuambie mtu hata mashati na suruali, hadi viatu ni classic tu, you get designers items, na ukivaa kabisa unaonekana classic. Hebu jaribu kupita mitaa ya mkwepu jirani na bilicanas ni mahususi kwa mashati ya mitumba na suruali. Usibishe.

   
 13. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Je akikuta imehusika katika wizi,Ujambazi,Car jacking? Haitakula kwake... ???
   
 14. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160

  jamani . .. keshasema kaiokota / kaikuta kwenye nguo, mbona ni jambo straightfoward. Labda kama akiipeleka police post ya TZ
   
 15. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  TB,
  Umenitoa usingizini, km mwenye hiyo license ni marehemu itakuwaje? Nasikilizia. Mimi kilichonishangaza ni mtu kusahau kitu chake muhimu km license kwenye pulse anayo - tupa!
  Hii ni tofauti kukuta dola moja au tano kwenye jeans.
  Hata kuipeleka Embassy naogopa.
   
 16. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  peleka ubalozi wa marekani. hao jamaa wanathamini raia wao kupita maelezo. Watampelekea na wanaweza kukuzawadia tuzo kama mtu unayejali wengine. Mie nilishawahi kuwa nje, kuna balozi za kibongo - ukipatwa na tatizo ujue lazima uzae nalo. wao watakwambia bwana sisi hatuingilii mambo ya nchi nyingine.
   
 17. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Itupe tu! kama wala usisumbuke, maana huyu binti akiitafuta na akiikosa basi atawajulisha authorities huko Ohio na watampelekea nyingine. Enjoy life mzee wacha kujipa presha! Ta!!
   
 18. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kama Upo Dar,Chukua karatasi andika umeipata ktk pochi la mtumba,weka email yako,simu etc.andika kuwa ungependa kuwasiliana na mtu mwenye hiyo leseni ,then ipeleke au iposti ubalozi wa marekani,wataifungua na kuipeleka kwa muhusika plus ujumbe wako,kwani unaweza kuwekwa ktk Guiness book of records,kuwa leseni ilipotlelea marekani na kupatika TZ after soo and soo time,miles etc,pia inakupa opportunity ya kutenda jambo jema plus kunetwork na mtu wa mbali :)
   
Loading...