Oh, Madonna...

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[h=3][/h]
............00.JPG
..........0.jpg
.................000.jpg
At 54, I think it's time to tone it down. This is what the material girl wore at the Miami leg of her MDMA tour on Monday night
 
Hiyo bra mulfunction ya funga mwaka. Nikajua ni bongo tu, hamjui victoria beckahm?
 
phuuuu! kale kamsemo ka age ain't nothing,just numbers kumbe wapo wanaouamini!naona huyu mmama anajiona kigori kabisaaa wa miaka 15!
 
Madonna aliwahi kuhojiwa katika TV fulani backgroung ya maisha yake inasikitisha sana, alikuwa abused kwa muda mrefu.
 
Du aisee yani 54 lkn she look lyk 24.....kwa mama wa kibongo wa age hyo yani kashazeeka mbaya.
 
Wabongo hawachelewi kesho utakutana nao hapo Buguruni, Sinza, Magomeni, Tandale bila kusahau maeneo ya Bills.
 
Pamoja na vimbwanga nyake, bado Madonna kimuziki ni mkali sana na ndio maana concerts zake zote ziko sold out
 
Back
Top Bottom