Oh God help us!

vicenttemu

Member
Nov 16, 2010
43
0
Ni lini watz tutakuwa na uwezo wa kuzungumza jambo serikali ikubaliane nalo? Inackitisha hata katiBa ya kutawala imefanywa ni ya watu fulani na sio ya watanzania. Ahadi lukuki utekelezaji ndoto ya mchana.sawa basi, tupeni hata huduma nzuri huku mashuleni, au kwa sababu watoto wao hawasomi huko ndo maana. Oh God help us. Nchi moja watu tofauti, matajiri kule na ubaguzi wao. Maskinnao kivyao na shida zao. Nasikia viongozi wengine kuacha kamilion kamoja supermarket ni kawaida kabisa, wakati raia jimbon kwake wana njaa hoi bin taaani. Safari ni ndefu tuckate tamaa. Lets keep going people.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom