LeBron TZ
Senior Member
- Sep 26, 2018
- 172
- 201
Kwa mtazamo wangu, watu wasio na upande wowote katika siasa ndio watu walio sahihi na thabiti zaidi kwa sababu zifuatazo.
1. Hawana mapenzi ya chama fulani, kwa hiyo wao hupiga kura kwa kiongoz mwenye sera nzuri.
2. Kwa kuwa hawana mapenzi na chama chochote hawawezi kuwa na conflict of interest, yani hawashawishiki kuchagua kiongoz kutokana na chama chake bali sera. Tofauti na watu wenye mapenzi na chama fulani, wao watapiga kura hata kwa jiwe as long as ndio mgombea wa chama chao aliyesimamishwa.
3. Wakiongea wanaongea uhalisia kama ni kokosoa au kusifia serikali. Tofauti na watu wenye vyama vyao, wakiahribu hawakubali kuambiwa wameharibu wanaita uchochezi, au hata waliopo madarakani wakifanya vizuri wapinzani wao watakosoa na kuongea vibaya tu sababu wanaongea kwa upenzi wa chama na sio uhalisia.
Mfano.
Mshabiki wa Simba/Yanga wa kweli hata Simba/Yanga wawe wanaboronga vipi yeye bado tu atasimama upande huo sababu ya upenzi na sio uhalisia.
NB: Mimi pia sina upande wowote kwenye siasa. Nipo driven na sera za kiongoz husika, sichagui chama nachagua sera.