Ogopa kula chakula cha mwenzio bila kupewa boarding school!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ogopa kula chakula cha mwenzio bila kupewa boarding school!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 2, 2011.

1. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#1
Aug 2, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,521
Likes Received: 5,752
Trophy Points: 280
Hii ni kwa wale wenzangu wanaoendelea kusoma jamani nimekumbuka leo 99..nikiwa pugu boy aka pond boy

nilipoanza nikawa na allerge ya ugali hivyo ikabdi nijipikie sana kwa muda ..sasa kuna siku kwa wanakumbuka mapinduzi bweni nikapika narudi usiku nnikakuta jamaa wamekula wameshiba...wameacha ukoko nikauliza jamaa zangu wote wanadai walikuwa class wanmasoma ...siku iinayofwata same wakanipiga waali na samaki..wakaakaa kama siku 5 wakanirudia nikiwa nimepika viazi nyama duh nikarudi hme nikakumbuka haaka kadawa ""dulucolax"""huwa nakunywa kila baada ya miezi miwili ..nikarudi bwe nini..siku inayofwata nikaenda pale chini iwa kina silaa mh nikanunua nyama kilo moja nikapanda nayo juu mnaojua kale kakilimia nikawekea suppu wonderfull na zile supu za kumimina..nikasaga vidonge vitano..nikaenda kusoma niliporudi nikakuta ukoko tena

yaliotokeea

nilikuwa nalala juu niliporudi mwenzangu wa chini akaanza kwenda chooni zaidi ya mara sita akadai amepata food poison sijui

nikamwambi awapi akadai huko nje..nikajua huyu wa kwanza..nilipokuwa nimelala akaja jamaa mwingine aakadai kaka kwema leo ujapika nikamwambia kishaisha ujalaa akasema nimekula ila sijui tumbo inaniini kila saa naenda choon nikajua wa pili huyu

nikiwa usingizi unaanikaribia wakaja jamaa watatu hawa walikuwa wa wazi wakasema didy usione atulali sio tunapenda na naona unacheka wenzio tumekutana chooni zaidi ya mara sita atukjui soln leo umeweka nini kwenye chakula chako??nikamwambia mbona nimekula akasema ujala nikamwambia kwa nini..akiwa anataka kumwaga radhi akaomba akaarishe..akarudi na kusema kaka nimekuja nimekuta jamaa kadhaa akiwemo jiran yako wanakula chakula chako wameto wote naona ..eehh ehh wakachukua maji wakaweka kwenye sufuria yako wakafunika...ukweli ni mpaka sasa kila alieonja akuna alielala nisaidie ukweli kama vipi nikatafute maziwa.....nikamwambia sijaweka kitu ila kwa nini mmefanya hivi mlihisi sitoweza lala bila kulaa..nikamwambia ukiweza kupata maziwa kunywa ila next msile kitu msichopewa ..maana wengi humu amjawahi kusafisha matumbo yenu naona nimwasaidia kupunguza uchafu

sos kuwa makini sana na chakula cha watu usione kimwekwa ayupoukajifanya wewe baressa unasambaza vyakula utalia hiyo ni 99 sijui sasa wanatumia aina gan ya kutoa uchafu tumboni

Loading...