Ofisi Za RITA ziko wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi Za RITA ziko wapi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Romana, Nov 5, 2009.

 1. R

  Romana Member

  #1
  Nov 5, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naombeni mwenye kufahamu ofisi za RITA Dar es Salaam mahali zilipo anifahamishe, natanguliza shukrani.
   
 2. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2009
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,949
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mkuuzipo upanga karibia na muhimbili ukipitia njia ya tambaza sec
   
 3. R

  Romana Member

  #3
  Nov 5, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante Mkuu, hope nikiulizia naweza kuziona, wana bango lolote au ni ndani ya jengo maarufu, nijuze tafadhali.
   
 4. J

  Jafar JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  kUNA BANGO JIRANI KABISA NA UNHCR
   
 6. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,264
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  au geti la kutokea pale Muhimbili Hospital, pinda kushoto ukienda moja kwa moja utaona kibao cha RITA upande wa kushoto (ila ni kidogo) hivyo fuata kibao (kunja kushoto na fuata barabara) si mbali sana kutoka hapo.
   
Loading...