Ofisi za RITA Kibaha mnafanya kazi kienyeji sana

mbuchi

Member
May 31, 2020
15
4
Ofisi za RITA kibaha Mji mjirekebishe. Kwanza mnapenda sana rushwa, kila siku foleni. Tatizo dogo tu utazungushwa mpaka ukome.

Serikali kuu iingilie kati Wananchi wanataabika.
 
Mkuu umewahi kuwa mhanga wa madai yako na vipi ushahidi unao?

Au kuna watu unawasemea labda wewe ni kiongozi umeshindwa pakupeleka malalamiko?

Ahsante.
 
Hivi ofisi za RITA zipo kila mkoa?
Au ndo zile ofisi za vizazi na vifo zinazopatikana ktk ofisi za Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya.?
Binafsi ninamtoto waumri wa miaka 8 naishi nae yy amezaliwa Tanga nakwasasa naishi nae Mbeya sasa nimeenda ofisi za vizazi na vifo zinazopatikana ktk ofisi ya mkuu wa wilaya pale Retkoili nipate cheti cha kuzaliwa wakanijibu cheti chake nikifuate Tanga.
Sasa naona nimzunguuko sana ivi hizi ofisi za RITA haziwezi kunisaidia nipate cheti chakuzaliwa chahuyu mtoto kwa huku huku nilipo
 
Back
Top Bottom