Ofisi za redio free afrika dar es salaam.

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,937
26,638
Heshima kwenu, naomba kwa yeyote anaye jua zilipo ofisi za Redio Free Afrika kwa hapa Dar Es salaam. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Ada Estate Kinondoni...unaingilia mataa ya Exim Bank(?) kama unatoka Posta via Ally Hasan Mwinyi Road...around Ubalozi wa India...ile mitaa ambayo Mwana Halisi ilituambia vijana waliitumia kuchakachua matokeo ya Urais 2010
 
Yeah, kama unatokea posta kuelekea mwenge itakuwa ni mkono wako wa kulia. Kuna vibao vyao pale vinaelekeza ila uelewe kwamba utaingia ndani ndani kidogo kutoka barabarani
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom