Ofisi za Polisi Tanzania ni nzuri kuliko za Polisi Kenya

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,994
Hiyo pichani ni ofisi ya polisi Nyandarua, Kenya ambapo Rubani mzungu akitoka kujieleza baada ya kutuhumiwa kumdhalilisha askari wa Kenya.

Ona hiyo ofisi jamani inatia huruma.Ofisi za kwetu watanzania ziko vizuri.Hii picha ni ya mwezi huu wiki iliyopita.
1300684_0.jpg
 
kenya sehemu gani umefika, au ni hiyo picha ya hicho kituo? majengo hayatofautiani sana,
 
Ni kweli angalia mgombea uraisi Uganda Besigye akishangaa nje ya hiyo ofisi ya polisi

shocker5.jpg
mkuu hii ni aibu alafu picha inaonekana dunia nzima besyigye akiwa kituoni.............
wakati nchi inarasilimali za kutosha tu,...huu ujinga,...
alafu polis hao hao wanatumiwa na muse7 kutesa na kukandamiza rai na kutumika kumhakikishia kukaa madarakani...........
huu upuuz mkuu...........
kweli ndomana viongoz wa afrika wanangangania kukaa madaRAkani muda mrefu.
wanamaovu mengi mnoooooooooooo...........
 
Kipindupindu,na kifua kikuu yote ni maradhi tu.kufananisha ubovu kwa ubovu ni dalili ya kukosa hekima.hakika kila mtu ana uendawazimu wake.
 
Back
Top Bottom