Haya sasa ni mateso, na sijui kama ni kwa nchi nzima au ni katika hili tawi la hapa mwanza.
Hivi inawezekana kuwa mtumishi katika sekta binafsi inapokuwa mkataba wake na mwajiri wake umekwisha na akiwa hajatiza umri wa miaka 50 au 60 ambao ndio umri wa kustaafu kwa mujibu, hatalipwa hadi afikie umri huo, na hata akibahatika kufikia huo umri, basi atalipwa 33•3℅ ya mshahara wake alio kuwa akilipwa kabla, na hiyo itakuwa hivyo kwa miaka mitano, baada ya hapo ndo atalipwa tena sio kwa asilimia zote.
Kwa kweli haya ni mateso kwa wafanyakazi, ni nani ajue kuwa uhai wa mwanadamu utakoma lini, ispokuwa ni Mungu pekee.
Na ni kwanini umnyanyase mtu kwa fedha zake alizokuwa akikatwa kwa ajili ya akiba yake ya baadaye ?
Kuna wakati nilisikia kuwa huo utaratibu ulizuiliwa na serikali au ilikuwa kiini macho ?
Na kama kweli serikali ilisitisha hili zoezi la mafao ya uzeeni, basi naomba TAKUKURU ifatilie kile kinacho endelea kwa watumishi wanaofatilia mafao yao katika ofisi za NSSF mwanza.
Haki itendeke ili hawa wastaafu waweze kulipwa mafao yao.
Na ni wazi kuwa watumishi wengi was nchi hii hutoka kwenye ajira wakiwa maskini tu , hivyo wengi hutegemea malipo hayo ili waweze kujikimu kimaisha.