ofisi za kata kupakwa rangi za ccm ambazo ni kijani na njano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ofisi za kata kupakwa rangi za ccm ambazo ni kijani na njano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mama kubwa, Apr 12, 2011.

 1. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  wanajamvi nina swali ambalo linanitatiza je ni sawa kwa ofisi za kata kupakwa rangi za ccm? nimeona ofisi ya kata ikungi, aghondi, msisi na mvumi zote zikiwa na rangi za kijani na njano ofisi hizo ziko mkoani singida je ni sawa?
   
 2. K

  KWELIMT Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkubwa inategemeana,yamkini wamepanga kwenye majengo ya ccm,ila mi nadhani sio sahihi kwani huo ulikuwa utaratibu wakati wa chama kimoja.Kwa DSM nakumbuka Ofisi ya kata ya kimara-Baruti ilikuwa kwenye jengo CCM,ni juzi juzi 2 wamehama kwani diwani cdm kapinga utaratibu ule.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Si sahihi kabisa..na dhani watu wa huko hawana uelewa, na diwani mwenyewe ni kilaza wa kutisha!
   
 4. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  asanteni kwa majibu yenu hili jambo kijuujuu unaweza kuliona dogo kwa ufahamu wangu watendaji wa kata wanaajiriwa na serekali na wako chini ya halmashauri sasa inakuweje wafanye kazi kama wanasiasa? ndio maana ni rahisi kuwahadaa wananchi huduma wanazopata ni za chama si serikali ofisi hizi ukipita toka mza kwa barabara zinaonekana wazi zina rangi ya chama hicho tena ni viofisi vidogo vilivyojengwa madhumuni kwa ajili ya ofisi za kata.wapinzani wa ukweli fuatilieni serekali ya ccm inachanganya mambo makusudi kuwachanganya wananchi walio na uelewa mdogo
   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  ngumu kukemea Diwani mwenyewe wa chama tawala
   
Loading...