Ofisi za ACT-Tanzania, ukarabati unaendelea...

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
1,986
1,282
attachment.php


Dar es Salaam

attachment.php

Mpanda-Katavi.
 

Attachments

  • SAM_4652.jpg
    SAM_4652.jpg
    345.3 KB · Views: 299
  • katavi.jpg
    katavi.jpg
    40.1 KB · Views: 1,218
  • 20140509_163816.jpg
    20140509_163816.jpg
    52.9 KB · Views: 1,560
Wadau tuwekeeni na katiba ya chama. Na sera pia tupitie tuone kama kinamambo mazuri. Niwajoin hand
 
Kiwashinde nini na CCM wameiba za kutosha na mgao ni pasu pasu?

Nyie wote ni ukoo wa panya tu.....
 
hayo matahira wanachora nini hapo na shirika lao la dini.hawana hata akaunti ya benki,limbu mwenyekiti wao ana tuhuma ya ADC chama kilikuwa hakina akaunti
 
Ila si wana provide posho vizuri tuingie ma jobless?
Zzk mtata sana CDM atakua wa mwisho kutoka na ACT atakua wa mwisho kuingia
 
Hiki ndiyo chama siyo chadema, kiko ki kanda zaidi mpaka viti maalumu wanapewa wake, hawara, watoto na dada zao, chama cha kujiripua mabomu na maandamano, chama cha kupora wake za watu na wazinzi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom