Ofisi ya Waziri Mkuu tambueni tatizo la umeme ni Maafa ya kitaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya Waziri Mkuu tambueni tatizo la umeme ni Maafa ya kitaifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Jul 13, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nawaomba kuwakumbusha ofisi ya waziri mkuu watambue tatizo lililopo ni janga lakitaifa kama mengine yanavyotokea!matharani mafuriko njaa n.k!Kwani kuiachia Wizara ya nishati nikuitwisha mzigo kwani dira iliharibika tangu enzi hizo za Richimond!Kitengo cha maafa kilichopo chini ya ofisi ya Waziri mkuu ndo wakati wakuingilia kati!
   
Loading...