Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Naaam
Kwanza tujipe pole pole watanzania wote kwa msiba na wa ajali ya meli na zaidi kwa wale walioguswa moja kwa moja kwa kupoteza na ndugu , jamaa na marafiki .
kama kawaida sisi "watazamaji" kazi yetu ni kukumbusha, kuhoji, kukossoa na kusifia yale yaliyofuata baada ya janga.
Sasa swali na hoja yangu ni kutoka kujua je kitengo cha Maafa ofisi ya waziri mkuu(Nadhani na zanzira kipo chini ya ofisi ya waziri kiongozi) dhumuni na wajibu wake mkubwa ni nini?

- Kusbiri majanga yatokee ili waote sanda na rambi rambi na kutangza maombolezo
- Kuanisha maneneo yahohiytaji ungaliaizi wa hali ya juu na hivyo kusaidia kuzuia au kupunguza maafa ya majagan kabla au baada ya kutokea ?