Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Takwimu zisizo rasmi zinaonyesha kuwa asilimia kubwa ya watz nivijana! Je ofisi ya takwimu inajua yale tuyaonayo kwamacho na masikio kuwa vijana wengi hawana imani na serikali hii ya rais kikwete hususani vjna wote educated?