Ofisi ya taifa ya takwimu toeni makadirio ya idadi ya wananchi kwenye sifa za kupiga kura ili kuepusha upikaji data

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
490
763
Kufuatia kauli ya wakubwa ya hivi karibuni kuhusu zoezi la uandikishaji wananchi kwenye daftari la wapiga kura kuna uwezekano wa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kupika baseline data za makadirio ya idadi ya wananchi wenye sifa za kupiga kura yani kuanzia miaka 18 na kuendelea ili kuonekana wamehamasisha wananchi wengi kajiandikisha kwenye daftari .

Kwani nani mwenye kuthubutu kuachia ngazi kirahisi hivi hivi?

Ni vyema NBS ( ofisi ya taifa ya takwimu kutoa takwimu rasmi za makadirio ya idadi ya watu kwa kila wilaya au mkoa ili kuepusha watu hao kupika data kwa lengo la kuepuka kutumbuliwa na mkuu wao).
 
Back
Top Bottom