Ofisi ya Rais – Utumishi wakamilisha ujenzi wa ofisi yake kwenye mji wa Serikali jijini Dodoma

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
1,019
 • Waziri Mkuu Kassim M. Majaliwa amewapongeza viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa usimamizi mzuri uliopelekea kumalizika kwa ujenzi wa ofisi hiyo kwa wakati iliyopo mji wa serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma.
 • Pongezi hizo amezitoa alipotembelea jengo jipya la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora lililopo kwenye mji wa serikali, eneo la Mtumba jijini Dodoma.
 • Mhe. Majaliwa amesema kuwa, ameridhishwa na kiwango cha ujenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora iliyojengwa ndani ya kipindi cha miezi mitatu na kwa gharama nafuu ya kiasi cha shilingi bilioni moja iliyotengwa na serikali.
 • “Serikali imekuwa ikifuatilia hatua zote za ujenzi katika mji wa serikali ili kuhakikisha ujenzi unafanywa kwa viwango, na jengo la Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora limekuwa likienda vizuri sana katika hatua zote” amesema Mhe. Majaliwa.
 • Mhe. Majaliwa ameongeza kuwa, anatambua kwamba Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora imeshafanya uzinduzi wa jengo lake, jambo ambalo ni jema na limeonyesha namna ambavyo ofisi hiyo imetekeleza vema maelekezo ya serikali.
 • Aidha, Majaliwa ameweka bayana kuwa, uzinduzi rasmi wa Ofisi zote zilizojengwa kwenye mji wa serikali utafanywa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika tarehe rasmi atakayoipanga.
 • Waziri Mkuu Majaliwa ametoa wito kwa ofisi hiyo kuboresha mandhari ya nje ya ofisi ili iweze kupewa kipaumbele na serikali kuwa ofisi itakayotumika kwa ajili ya uzinduzi wa ofisi zote zilizojengwa kwenye mji huo wa serikali.
 • Naye, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa amemshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim M. Majaliwa kwa kutenga muda wake kuitembelea Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora katika mji wa serikali, na kumshukuru kwa namna alivyowahimiza mawaziri kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa ofisi zao kwenye mji wa serikali ili ukamilike kwa wakati.
 • Dkt. Mwanjelwa kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, amemuahidi Mhe. Majaliwa kuwa, ofisi yake itatekeleza maelekezo aliyoyatoa na itaendelea kutekeleza maagizo anayoyatoa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
 • Awali, Kaimu Meneja wa Wakala ya Majengo Tanzania (TBA), Bw. Herman Tanguye amesema kuwa, Wakala ya Majengo Tanzania imekamilisha ujenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa asilimia 99.5% kwa muda uliopangwa na kwamba hatua iliyobakia ni kukamilisha mandhari ya nje ya ofisi.
 • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim M. Majaliwa ameitembelea Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za serikali kwenye mji wa serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma, kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuzindua ofisi hizo rasmi hivi karibuni.
 
1553720330145.png
 
Blabla picha hamna
 
LOooh. Hiyo PICHA!

Zote mtindo wake uko hivyo?

MTUMBA?, sasa naelewa maana yake!

Hizi ndio ofisi za serikali za kudumu, au ni za muda tu, nikiwazia miaka 50 toka sasa!

Huu ni ufujaji. Ofisi haikidhi hata mahitaji ya SASA HIVI. Huko tubilioni tumekwenda na maji. Kesho utasikia jengo jipya la bilioni 15 linajengwa. Sijui haraka ya nini.
 
Majizi yashapiga pesa za kufa mtu.

HIYO NI OFISI AU SHULE YA MSINGI?
 
Kwa mahitaji ya muda mfupi ofisi iko poa, ushauri wangu mimi madhari ya nje ni muhimu sana ikiwezekana hiyo tenda ya kuweka madhari ipewe kampuni yenye ujuzi na hayo mambo na wasiishie kweye mandhari za ofisi tu bali Dodoma nzima ipandwe miti na maua ya kuvutia ikiwezekana udongo ukachukuliwe Iringa, Kondoa au Babati. Mimi naamini mji ni mazingira na sio maghorofa makubwa makubwa, wakifanya hivyo Dododoma inaweza kuwa mji wa mfano hapa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla mimi naamini hatushindwi maana serikali ya awamu ya tano chini ya Mh. Doc.
JPM haijawahi shindwa.

Nashauri hivi, kwa sababu hivi majuzi nimeona wizara ya mazingira ikipanda miti eneo la wizara yake sikumbuki ni hekari ngapi naipongeza kwa hili, ila kwa yale mashimo niliyoyaona ni madogo sana na sina hakika na ule udongo kama waliutoa sehemu sababu udongo wa Dodoma ni nusu jangwa hauwezi support kila mmea, kingine ni ile miti waliopanda ni midogo nadhani ni vizuri ikapandwa miti mikubwa mikubwa ili kupunguza gharama za utunzaji na pia kuwa na uhakika wa kukua la sivyo miti mingi itakufa. Serikali huwa haishindwi na wazari ya mazingira ndio wizara husika kwenye hili jambo nashauri itengwe bajeti kwa ajili ya Dodoma forestation na iwe kampeni kabisa barabara zote za mijini na zakwenda wizarani zipandwe miti na maua kandokando na zitungwe sheria za kusimamia hakika Dodoma itapendeze sana na itakuwa ya baridi na ya kijani.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki serikali.
Mungu ibariki Dodoma.
 
Back
Top Bottom